GE2025 Wavuvi Lindi: Mama Samia hatuna cha kukulipa zaidi Octoba 29 tunatiki kwako tu!

GE2025 Wavuvi Lindi: Mama Samia hatuna cha kukulipa zaidi Octoba 29 tunatiki kwako tu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Naona wasanii wakiendelea kutumika kweli kweli na CCM, najiuliza muafaka wao ni upi baada ya uchaguzi huu?

Lakini wananchi baadhi yao wameonyesha kumuunga mkono Samia na kusema amefanya mengi sana na wao hawana cha kumlipa zaidi ni kumpa kura za ndio Oktoba 29, 2025 ili aendeele kuwaletea maendeleo.

Na hizi boti walizepewa hawa wavuvi basi kwisha kabisa!
 
Back
Top Bottom