Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naona wasanii wakiendelea kutumika kweli kweli na CCM, najiuliza muafaka wao ni upi baada ya uchaguzi huu?
Lakini wananchi baadhi yao wameonyesha kumuunga mkono Samia na kusema amefanya mengi sana na wao hawana cha kumlipa zaidi ni kumpa kura za ndio Oktoba 29, 2025 ili aendeele kuwaletea maendeleo.
Na hizi boti walizepewa hawa wavuvi basi kwisha kabisa!