DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Akizungumza na wavuvi wa Bwawa la Tambuko katika Kijiji cha Mwahango, Kata ya Ilongero, Oktoba 17, 2025, INSP Asajile Mwatujobe aliwahimiza kudumisha utulivu na amani katika maeneo yao.
Amesisitiza umuhimu wa kuepuka kushiriki au kuunga mkono vikundi vyenye malengo ya uchochezi, hasa katika kipindi hiki nyeti cha uchaguzi, akieleza kuwa utulivu wa jamii ni msingi wa maendeleo na usalama wa wote.