GE2025 Wavuvi mwahango waaswa kudumisha amani na kuepuka vikundi vya uchochezi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Akizungumza na wavuvi wa Bwawa la Tambuko katika Kijiji cha Mwahango, Kata ya Ilongero, Oktoba 17, 2025, INSP Asajile Mwatujobe aliwahimiza kudumisha utulivu na amani katika maeneo yao.

Amesisitiza umuhimu wa kuepuka kushiriki au kuunga mkono vikundi vyenye malengo ya uchochezi, hasa katika kipindi hiki nyeti cha uchaguzi, akieleza kuwa utulivu wa jamii ni msingi wa maendeleo na usalama wa wote.


​
 
Sisi wa October HATUTIKI tunahitaji hashtag yetu ili wavuvi nao waonyeshe hisia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…