Lipijema
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 830
- 1,223
Takriba miaka minne tumedhurumiwa kiasi cha kutosha haki zetu,wengi wetu tumenyanganywa nyavu zetu, ndoano, na vitendea kazi zetu ktk uvunaji wa samaki wakisema eti na zana haramu au samaki haramu, bila shaka hakuna asiyeguswa na kadhia hii ya serikali ya awamu ya tano.
Ukweli ni mengi mno, vifo kadhaa kwa wavuvi/ wasafiri waliokuwa wanapita jirani na hifadhi ya Rubondo wameuliwa!
Wanafahamu sisi ni wasahaurifu, wajinga, na ni wapumbavu/ wanyonge, hivyo walipoona kampeni zimeelekea kuanza nao wakaanza kuturegezea masharti na kuwa wapole! Tujitambue, tarehe 28/10/2020. Tusirudie kosa. Piga kura yako kwa Mh: T.Lissu.#NI YEYE 2020.