Wawa aheshimiwe

Wawa aheshimiwe

Chendembe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
444
Reaction score
488
Nimefuatilia mechi nyingi ambazo Simba wamepata ushindi mkubwa na kubaini kuwa beki kiongozi, mhamasishaji wa mashambulizi, mwenye macho ya kuona nafasi za washambuliaji na kuwatuma, Mzee baba Wawa amecheza.

Pamoja na mapungufu yake machache, tumuheshimu.
 
Anajitahidi..ila hana ball control nzuri na mipira ya juu inamshinda sana...
Anachojua ni kupiga pasi za mbele tu... tofauti na Inonga ambaye akipata mpira anafanya vimbwembwe vya kikolo mwisho anapiga back pass.
 
Wawa ni best defender kuwahi kucheza ligi yetu.
Anakaba na kupandisha timu kwa haraka udhaifu wake ni aerial balls na kidogo one against one.
 
Tusiishie kumuheshimu tu pia tumpambanie abaki msimu huu awe kocha mchezaji au mnasemaje
 
Back
Top Bottom