Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Noma sanaKutoka barazani mwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
1hr ago·
Kwa mujibu wa Shahidi wa ACP Ramadhan Kingai (pichani), Freeman Mbowe alimuahidi Luteni Dennis Urio kuwa wakifanikisha kuchukua nchi [kwa njia ya mapinduzi] yeye Mbowe angempa nafasi kubwa...
... pamoja na kwamba ni ushahidi wa kutunga lakini inategemea! Kama Mbowe aliahidi baada ya uteuzi wa nafasi za urais Chadema kufanyika hapo kweli kuna walakini mkubwa sana! Ila kama ilikuwa kabla ya uteuzi, hoja ipo! Sikumbuki Lissu aliteuliwa lini na Mbowe alitoa ahadi hiyo lini kwa mujibu wa Urio! Naona upande wa Serikali ukiomba kwenda kubadili charge sheet!Kutoka barazani mwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
1hr ago·
Kwa mujibu wa Shahidi wa ACP Ramadhan Kingai (pichani), Freeman Mbowe alimuahidi Luteni Dennis Urio kuwa wakifanikisha kuchukua nchi [kwa njia ya mapinduzi] yeye Mbowe angempa nafasi kubwa...
Namuona bibi akidharau mwiba kama alivyofanya kaka yake marehemu...Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi ili kujua kinachoendelea .
View attachment 1938700View attachment 1938701
Nilivyomwelewa Mwamakula ni kwamba, Mwongoza ushahidi ham-guide Shahidi kwenye tarehe hasa za matukio hayo yalitokea lini. Sasa kwakuwa mahakama itaamua kwa ushahidi usio na shaka kwenye hili sijui mahakama italichukuliaje.... pamoja na kwamba ni ushahidi wa kutunga lakini inategemea! Kama Mbowe aliahidi baada ya uteuzi wa nafasi za urais Chadema kufanyika hapo kweli kuna walakini mkubwa sana! Ila kama ilikuwa kabla ya uteuzi, hoja ipo! Sikumbuki Lissu aliteuliwa lini na Mbowe alitoa ahadi hiyo lini kwa mujibu wa Urio! Naona upande wa Serikali ukiomba kwenda kubadili charge sheet!
... ajabu sana kwa kweli! LINI (WHEN) ni kitu muhimu sana katika ushahidi! Kama wanataka kupanga ushahidi/matokeo vile!Nilivyomwelewa Mwamakula ni kwamba, Mwongoza ushahidi ham-guide Shahidi kwenye tarehe hasa za matukio hayo yalitokea lini. Sasa kwakuwa mahakama itaamua kwa ushahidi usio na shaka kwenye hili sijui mahakama italichukuliaje. Ila interestingly ni kuwa Peter atapata muda wa kumfanyia cross examination hapo ndio utajua askari wetu kichwani wapoje....Tundu alikuwa anawatesa sana kwenye kuwafanyia cross examination
Kingai aweza kuwa mweupe kuliko hata koplo , subiri uoneNilivyomwelewa Mwamakula ni kwamba, Mwongoza ushahidi ham-guide Shahidi kwenye tarehe hasa za matukio hayo yalitokea lini. Sasa kwakuwa mahakama itaamua kwa ushahidi usio na shaka kwenye hili sijui mahakama italichukuliaje. Ila interestingly ni kuwa Peter atapata muda wa kumfanyia cross examination hapo ndio utajua askari wetu kichwani wapoje....Tundu alikuwa anawatesa sana kwenye kuwafanyia cross examination
Tusubiri...Kingai aweza kuwa mweupe kulikovhata koplo , subiri uone
Dudus, these are assertions, lazima uzithibitishe. Mahakama haikubali kusema tu bila ushahidi. Unatoa vielelezo, maana Mbowe atakataa, Sasa Ni wewe ku prove unayoyasema au wasemaje... pamoja na kwamba ni ushahidi wa kutunga lakini inategemea! Kama Mbowe aliahidi baada ya uteuzi wa nafasi za urais Chadema kufanyika hapo kweli kuna walakini mkubwa sana! Ila kama ilikuwa kabla ya uteuzi, hoja ipo! Sikumbuki Lissu aliteuliwa lini na Mbowe alitoa ahadi hiyo lini kwa mujibu wa Urio! Naona upande wa Serikali ukiomba kwenda kubadili charge sheet!
Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu
Lisu level nyingine, lkn definitely atawasiliana na Lisu for some inputs. Hata Mimi kwa ushahidi huu ningelifanya cross examination kaliNilivyomwelewa Mwamakula ni kwamba, Mwongoza ushahidi ham-guide Shahidi kwenye tarehe hasa za matukio hayo yalitokea lini. Sasa kwakuwa mahakama itaamua kwa ushahidi usio na shaka kwenye hili sijui mahakama italichukuliaje. Ila interestingly ni kuwa Peter atapata muda wa kumfanyia cross examination hapo ndio utajua askari wetu kichwani wapoje....Tundu alikuwa anawatesa sana kwenye kuwafanyia cross examination
Tukiacha ukweli uwe ukweli, kwa ushahidi huu kama ni kweli Kingai kautoa leo, nadhani Peter atamtesa sana kwa maswali magumu, yaani Kingai atanyanyasika mno mahakamaniLisu level nyingine, lkn definitely atawasiliana na Lisu for some inputs. Hata Mimi kwa ushahidi huu ningelifanya cross examination kali
Kufa wewe ma a yako na baba yako na wote wanaokuhusuDawa ya Gaidi ni kumrudisha kwa muumba Hilo ndilo jukumu la Serikali jukumu la Muumba ni kutoa hukumu
Kama ilivyo kwa shetani atapata wafuasi WENGI Sana na ukikosea tu atapewa nafasi ya kututesa kama hatutawahi kumpa anachostahili.
Siwahamini Sana hawa wadau wanaowakilisha na wanatafsiri SHERIA
Kama namuona atakavyojinyea nyea kwenye cross examinationKingai aweza kuwa mweupe kuliko hata koplo , subiri uone
Tupo pamoja Masumbwe Runzewe Isaka Sungamile Ikungu lya Bhashai Lamadi Kasekese Mpanda Murushaka Karagwe Ololosokwani mpaka TundumaNa sisi wananchi wapenda haki, uhuru na maendeleo ya watu tunaifuatilia kwa makini kesi hii ya kihistoria.