Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
safi sana !Tupo pamoja Masumbwe Runzewe Isaka Sungamile Ikungu lya Bhashai Lamadi Kasekese Mpanda Murushaka Karagwe Ololosokwani mpaka Tunduma
Tupo pamoja na MWAMBA kwa karibu sana
Nimefuatilia updates, inaonekana mambo hayo yalipangwa kabla ya uchaguzi yaani kwenye mwezi wa 7 huko. Lissu aliteuliwa tarehe 24 August kama kumbukumbu zangu zipo sawa... pamoja na kwamba ni ushahidi wa kutunga lakini inategemea! Kama Mbowe aliahidi baada ya uteuzi wa nafasi za urais Chadema kufanyika hapo kweli kuna walakini mkubwa sana! Ila kama ilikuwa kabla ya uteuzi, hoja ipo! Sikumbuki Lissu aliteuliwa lini na Mbowe alitoa ahadi hiyo lini kwa mujibu wa Urio! Naona upande wa Serikali ukiomba kwenda kubadili charge sheet!
unadhani kingai ndio mara ya kwanza kukutana na kibatala??Kama namuona atakavyojinyea nyea kwenye cross examination
povu lote hili la nini mzee??Kufa wewe ma a yako na baba yako na wote wanaokuhusu
mkuu tuwe watulivu,kama ni kweli mbowe alitenda makosa hayo,hakuna tatizo kwa kingai,zaidi ya hali kuwa mbaya kwake zaidi.Tukiacha ukweli uwe ukweli, kwa ushahidi huu kama ni kweli Kingai kautoa leo, nadhani Peter atamtesa sana kwa maswali magumu, yaani Kingai atanyanyasika mno mahakamani
Hii Kesi ni Isidingo tu ya kuchafua watu na chenga chenga zisozo na maanaNilivyomwelewa Mwamakula ni kwamba, Mwongoza ushahidi ham-guide Shahidi kwenye tarehe hasa za matukio hayo yalitokea lini. Sasa kwakuwa mahakama itaamua kwa ushahidi usio na shaka kwenye hili sijui mahakama italichukuliaje. Ila interestingly ni kuwa Peter atapata muda wa kumfanyia cross examination hapo ndio utajua askari wetu kichwani wapoje....Tundu alikuwa anawatesa sana kwenye kuwafanyia cross examination
Hii kesi mbona iko wazi sana ! kama hujaelewa hutaelewamkuu tuwe watulivu,kama ni kweli mbowe alitenda makosa hayo,hakuna tatizo kwa kingai,zaidi ya hali kuwa mbaya kwake zaidi.
shida ni kama ni tuhuma za kuchonga,kitu ambacho wanajua mbowe na polisi.hata kibatala hajui.
umeishia darasa la ngapi ?Hawafuatilii kesi wanafuatilia mahela yao waliokuwa wanamtumia Mbowe ili kuleta machafuko, wazungu hawatupendi kihivyo mnavyofikiri
acha tuone.Hii kesi mbona iko wazi sana ! kama hujaelewa hutaelewa
Hizi tuhuma zimepikwa tena kwa moto wa mabua. Kesi hii ndiyo inakwenda kuitia kidole CCM na Serikali yake.unadhani kingai ndio mara ya kwanza kukutana na kibatala??
kitu ambacho kitamsumbua kingai ni kama tuhuma hizi ni za kuchonga,kama zina ukweli hakuna usumbufu wowote atakaopata.
Askofu majalala hana la maana sasa kuna jambo lingemshinda mbowe kumpa lisu maagizo ya kichama ,askofu kilaza Sana huyuKutoka barazani mwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
1hr ago·
Kwa mujibu wa Shahidi wa ACP Ramadhan Kingai (pichani), Freeman Mbowe alimuahidi Luteni Dennis Urio kuwa wakifanikisha kuchukua nchi [kwa njia ya mapinduzi] yeye Mbowe angempa nafasi kubwa.
Hata hivyo, aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA alikuwa Tundu Lissu. Hivyo kama CHADEMA ingeshinda, Lissu ndio angelikuwa Rais wala siyo Mbowe. Hapa kuna maswali kadhaa:
1. Kama Tundu Lissu ndiye ambaye angelikuwa Rais endapo CHADEMA wangelishinda Urais, Mbowe angewezaje kuahidi kutoa nafasi kubwa kwa watu wengine?
2. Inaonekana Mbowe [kama ushahidi wa ACP Kingai unavyodai] alikuwa tayari kupindua hata Serikali ya Tundu Lissu ili atimize ahadi yake?
3. Kuna kujikanganya kidogo katika mtiririko wa ushahidi: (a) Kuna kauli 'kuelekea Uchagauzi Mkuu'; (b) Kuna mazingira yanayoonyesha kuwa ACP Kingai alipanda cheo na kuushughulikia jambo hilo Novemba 2020, baada ya Uchagauzi Mkuu. Wakili wa Serikali hamuongozi vizuri Shahidi huyo kujibu maswali yaliyojificha, hivyo majibu yake bado yanaacha maswali mengi!
4. Kwa mantiki ya hoja ya 3 hapo juu, ni lini hasa Mbowe et al walipanga kufanya ugaidi wao? Je, ni kabla ya Uchaguzi Mkuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu au baada ya Uchaguzi Mkuu?
5. Wakili wa Jamhuri anayemhoji Shahidi ACP Kingai hakuonekana kutilia sana maanani kipengere cha 'lini' katika hojaji yake. Hatujui kama ni makusudi, mkakati, au kupitiwa.
6. Je, hayo mambo yalikuwa kabla ya Uchaguzi Mkuu au kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mbowe alikuwa amejua kuwa CHADEMA kitashindwa Uchaguzi Mkuu?
7. Inakuwaje Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha upinzani nchini apange njama nzito kama hizo peke yake na Askari Jeshi mmoja wa kukodi huku Chama chake hakijui?
8. Ni Kiongozi gani wa Chama alijua mpango wa Mbowe au ni kikao gani cha Chama kilijadili kwa siri mpango huo na kilifanyika wapi na kiliwahusisha viongozi gani?
Kesi ya Mbowe na wenzake inavuta hisia za watu wengi. Mambo ndio kwanza yameanza katika Kesi hiyo ambayo ingawa haijatamkwa hivyo, lakini kwa mujibu ushahidi wa ACP Kingai, ilipaswa kuwa ni 'Kesi ya Uhaini'! Kwa kadiri ushahidi utakavyoendelea kutolewa, tutashuhudia mengi sana katika Kesi hii ya kusisimua! Endelea kutega sikio Mahakamani!
Uchambuzi wa Askofu ni mantiki (logic) ya mantiki (Reasoning of a Reason)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Takataka kichwani, wazazi tuna hasaraHawafuatilii kesi wanafuatilia mahela yao waliokuwa wanamtumia Mbowe ili kuleta machafuko, wazungu hawatupendi kihivyo mnavyofikiri
Kwani we dada mwisho wa siku hutarudi kwa Muumba wako na kwenda kujieleza mbele yake? Yule mume wako muuaji Jiwe leo yuko wapi?Dawa ya Gaidi ni kumrudisha kwa muumba Hilo ndilo jukumu la Serikali jukumu la Muumba ni kutoa hukumu
Kama ilivyo kwa shetani atapata wafuasi WENGI Sana na ukikosea tu atapewa nafasi ya kututesa kama hatutawahi kumpa anachostahili.
Siwahamini Sana hawa wadau wanaowakilisha na wanatafsiri SHERIA
Ni haki yao ya msingi kufuatilia mwenendo wa kesi yeyote wanayoona inawafaa!Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi ili kujua kinachoendelea .
View attachment 1938700View attachment 1938701
Muathirika wa utawala wa kidikteta wa awamu ya 5 aliyeponea tundu la sindano Tito Magoti naye amejivuta kusikiliza ugaidi wa Laki 6
View attachment 1938747
Wanashuhudia mojawapo ya maajabu ya serikali ya Tz. "The case is one of the tourist attraction (fiction)".Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi ili kujua kinachoendelea .
View attachment 1938700View attachment 1938701
Muathirika wa utawala wa kidikteta wa awamu ya 5 aliyeponea tundu la sindano Tito Magoti naye amejivuta kusikiliza ugaidi wa Laki 6
View attachment 1938747
😆😆😆Wanashuhudia mojawapo ya maajabu ya serikali ya Tz. "The case is one of the tourist attraction (fiction)".
eKutoka barazani mwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
1hr ago·
Kwa mujibu wa Shahidi wa ACP Ramadhan Kingai (pichani), Freeman Mbowe alimuahidi Luteni Dennis Urio kuwa wakifanikisha kuchukua nchi [kwa njia ya mapinduzi] yeye Mbowe angempa nafasi kubwa.
Hata hivyo, aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA alikuwa Tundu Lissu. Hivyo kama CHADEMA ingeshinda, Lissu ndio angelikuwa Rais wala siyo Mbowe. Hapa kuna maswali kadhaa:
1. Kama Tundu Lissu ndiye ambaye angelikuwa Rais endapo CHADEMA wangelishinda Urais, Mbowe angewezaje kuahidi kutoa nafasi kubwa kwa watu wengine?
2. Inaonekana Mbowe [kama ushahidi wa ACP Kingai unavyodai] alikuwa tayari kupindua hata Serikali ya Tundu Lissu ili atimize ahadi yake?
3. Kuna kujikanganya kidogo katika mtiririko wa ushahidi: (a) Kuna kauli 'kuelekea Uchagauzi Mkuu'; (b) Kuna mazingira yanayoonyesha kuwa ACP Kingai alipanda cheo na kuushughulikia jambo hilo Novemba 2020, baada ya Uchagauzi Mkuu. Wakili wa Serikali hamuongozi vizuri Shahidi huyo kujibu maswali yaliyojificha, hivyo majibu yake bado yanaacha maswali mengi!
4. Kwa mantiki ya hoja ya 3 hapo juu, ni lini hasa Mbowe et al walipanga kufanya ugaidi wao? Je, ni kabla ya Uchaguzi Mkuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu au baada ya Uchaguzi Mkuu?
5. Wakili wa Jamhuri anayemhoji Shahidi ACP Kingai hakuonekana kutilia sana maanani kipengere cha 'lini' katika hojaji yake. Hatujui kama ni makusudi, mkakati, au kupitiwa.
6. Je, hayo mambo yalikuwa kabla ya Uchaguzi Mkuu au kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mbowe alikuwa amejua kuwa CHADEMA kitashindwa Uchaguzi Mkuu?
7. Inakuwaje Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha upinzani nchini apange njama nzito kama hizo peke yake na Askari Jeshi mmoja wa kukodi huku Chama chake hakijui?
8. Ni Kiongozi gani wa Chama alijua mpango wa Mbowe au ni kikao gani cha Chama kilijadili kwa siri mpango huo na kilifanyika wapi na kiliwahusisha viongozi gani?
Kesi ya Mbowe na wenzake inavuta hisia za watu wengi. Mambo ndio kwanza yameanza katika Kesi hiyo ambayo ingawa haijatamkwa hivyo, lakini kwa mujibu ushahidi wa ACP Kingai, ilipaswa kuwa ni 'Kesi ya Uhaini'! Kwa kadiri ushahidi utakavyoendelea kutolewa, tutashuhudia mengi sana katika Kesi hii ya kusisimua! Endelea kutega sikio Mahakamani!
Uchambuzi wa Askofu ni mantiki (logic) ya mantiki (Reasoning of a Reason)!
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Masikini wanawaza kula tu !we tafuta ugari familia iende mbele wakina mbowe wapo gerezani lakini hela bado inaingi
e