Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

bila bangi 😂 aisee
 
Gaidi la saccos na huruma ya mabeberu mwitu.
 
Ni Sawa tu wahudhurie maadam wanatumia mafuta, gari na muda wa ofisi zao. Na shauri ni la wazi kwa yeyote kuhudhuria.
 
Wewe ni shetani.
Tanzania haiwezi kuwa nchi ya mashetani kama wewe.
 
Lile shetani la chato liko wapi leo


Akili za kuku hizi
 
mbwa koko kama wewe huna faida duniani wala ahera
 
Leo hajavaa kanzu na kanda kama la bongo man
 
Nguvu hii ya kubambika kesi na matumizi mabaya ya Tozo ingetumika katika kesi ya washambuliaji wa Tundu Lissu ambao wako huru huku mitaani
 
Hawafuatilii kesi wanafuatilia mahela yao waliokuwa wanamtumia Mbowe ili kuleta machafuko, wazungu hawatupendi kihivyo mnavyofikiri
Kwani wao wamekwambia wanakupenda?.Usidhani wazungu ni wajinga kama wewe.
 
askofu mchumia tumbo aliyekula hela za mabeberu katika ubora wako hivi hujui mwenyekiti ndiyo kila kitu hapo hata angechukua madaraka lissu kitu ambacho hakiwezekani chini ya jua mbowe anaweza kupanga safu kama mwenyekiyti acha uzwazwa wako unajiita askofu huku unakula hela za watu ukiwaahidi mtachukua nchi huna hata aibu acha uaskofu uwe mwana siasa
 
Wale Ma-CCM waliokuwa wanaponda kila siku Mbowe Gaidi nahisi hata menyewe yameanza kuelewa upuuzi wao yaliokua yanashangilia...na Chief Hangaya wao kawapoteza hawajui wanashangilia nini sasa
 
Sioni jipya, UAMSHO walisota jela miaka kama 8-9 mwisho tukaambiwa jamhuri imefuta kesi. Watu walipiga kelele mwisho wakatoka povu. Wananchi kama hawajawa na njia mbadala za kujitetea, wataendelea kuteswa hadi mwisho wa dunia.
 

Wakafoke kwa peni zao sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…