Kabisa yaani... 👍Aliwahi sema pia Mo kua anatoa hela kwa mapenz tu na Simba hapati faida washabiki uchwara wasiojua hesabu wanavyodhani ,,Ni vile anaipenda simba..Hawa jamaa waheshimiwe aisee kuendesha timu sio mchezo,,mtu familia ya mke na mtoto inamshinda anasema eti tuachie timu [emoji3][emoji3]
Yupo kijiweni anauza maji na mkokoteniNa anayesema hivyo chini amevaa yeboyebo chakavu.
Yawezekana yapo yanayoendelea chini ya kapeti.... Lakini msingi mkuu wa mada ni kuwa hawa wanaosema hawa wadhamini "watuachie timu yetu" wanaweza kuiendesha hata kwa robo msimu????Yote hayo nakubali,yaani kwa takwimu zinaonesha mashabiki hawana uwezo hata kidogo,
Nakubaliana.
Mo Dewji aliwahi kunukuliwa kuwa anatumia zaidi ya bilioni 4,kwa Kila msimu, na ukiangalia ni kweli,
Mapato ya uwanja,Kodi za majengo ya pale Msimbazi,hata hizo hela walizopata Simba pindi wanafika hatua ya makundi na robo final,bado ukiipigia hesabu,
Ukaigawanya kotekote, hakuna kitu tajiri anapata
Maswali ya kujiuliza,
Je, inawezekanaje mtu aiongoze taasisi kubwa kabisa,pasipo kupata faida?
Nini kipo nyuma,juu ya huu uwekezaji,ukitazama kwa macho mawili,jibu ni mapenzi kwa timu lakini,jicho la tatu linakataa,kutokana na aina ya matajiri tulionao,
Vibarua tu wananyanyaswa huko kwenye viwanda vyao kwa ujira mdogo,
Huku wao Wanatoa,pesa nyingi pasi na faida
Lazima Kuna namna, either kusafisha pesa haramu,kutoka kundi fulani Tena si mtu mmoja.
Au kutengeneza pesa zaidi kwa njia za kilaghai,huku hayo mambo yakifanywa na vigogo wa nchi kwa mgongo wa Hawa matajiri.
Azam Media ndio wa kuulizwa, lengo la hii programu yao ni nini hasa, kukusanya hela au kuonyesha wingi wa mashabiki au ni kitu kingine zaidi? Walipotumia neno Nani Zaidi, walimaanisha nini hasa?Ni wiki sasa imepita... Kwa hiyo hela haitoshi hata kumsajili mchezaji mmoja wa kiwango bora wa ndani ya nchi... sembuse wakina Inonga B. na Mayele???
mtu wa ivyo mpe karamu na karatasi mwambie aandike bilioni 20 kwa tarakimu ndo utajua kama wabongo wengi ni longolongo.Unakuta kuna jitu linang'ang'ania eti Mo atuonyeshe benki aliyoweka hela 20B, wakati halichangii chochote katika uendeshaji wa klabu yake, iwe Simba au Yanga !
Hapana Azam media sio wa kulaumiwa.... Program ilianza kama wazo toka kwa uongozi wa simba kuona ni namna gani azam tv km media itaweza kuisaidia kimaendeleo? Hilo wazo azam wakasema ili linoge na kupamba moto waunganishe timu mbili na sote ziweze kunufaika na mpango huo... Ndo hapo wazo la kuileta yanga likaja....Azam Media ndio wa kuulizwa, lengo la hii programu yao ni nini hasa, kukusanya hela au kuonyesha wingi wa mashabiki au ni kitu kingine zaidi? Walipotumia neno Nani Zaidi, walimaanisha nini hasa?
🤣🤣🤣 Kuna mmoja alishawahi sema billioni 20 ni ndogo sana kwa timu kama simba... Sa tukamwambia kama hiyo ndogo wewe umechangia shi ngapi??? Anaanza kujing'ata midomo....mtu wa ivyo mpe karamu na karatasi mwambie aandike bilioni 20 kwa tarakimu ndo utajua kama wabongo wengi ni longolongo.
Kwa kuwa sina uhakika wa jinsi wazo lilivyoanza, kwa leo siwezi kukukatalia, yawezekana pia, so nakuwa msikilizaji tu kwa sasa.... Program ilianza kama wazo toka kwa uongozi wa simba kuona ni namna gani azam tv km media itaweza kuisaidia kimaendeleo? Hilo wazo azam wakasema ili linoge na kupamba moto waunganishe timu mbili na sote ziweze kunufaika na mpango huo... Ndo hapo wazo la kuileta yanga likaja....