Wawekezaji hawafatilii mechi

Wawekezaji hawafatilii mechi

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Nimeamini mpira wa bongo bado sana, wanaohangaika ni mashabiki na wala sio viongozi..

Kuna weekend moja zimepita siku kadhaa, ilkua siku ya jumamosi, Simba SC ilikua na mechi kubwa tu nje ya nchi.

Nilikuwa napunga upepo maeneo ya Oyersterbay kwenye hotel moja majira ya jioni, muda ambao Simba sc ilkua inacheza mechi yake, mwekezaji Mo Dewji na yeye alikuwepo hapo pamoja na rafiki yake mmoja hakua na mpango wa kuangalia mechi.

Siwezi kusema nini alkua anafanya ila alikua haangalii mpira na mpira ulkua hauoneshwi, mashabiki ndio mnaoangaika, viongozi hua mpango hawana ndio kwanza alikua kaagiza chakula.
 
Huenda ni siku hiyo tu alikua either moodless na kadhalika u know huwezi ukawa active na Kila tukio la mechi yako mkuu
 
Acha uchochezi, Humuonagi Mo akienda uwanjani kushabikia mabingwa wa nchi. Na labda alikua akifuatilia mpira siku hiyo kupitia simu asee
 
Mpira unaangalia hata kwenye simu live streem sio mpaka ukae kwenye tv au uwepo uwanjani.
 
Back
Top Bottom