Wawekezaji sekta ya mafuta na gesi wameweka mpira kwapani

kirang'enta

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
35
Reaction score
23
Wana JF habari nilizozipata muda si mrefu ni kuwa wawekezaji sekta ya gesi na mafuta nchini TZ wamepunguza uwekezaji wao kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hata wafanyakazi katika sekta hiyo wengi wameachishwa au wataachishwa kazi hivyo basi ndoto ya uchumi wa gesi imezidi kusogezwa mbele. Watangaza nia watueleze watafantaje kurekesha matumaini ya waTZ katika kuhakikisha hii raslimali ya mafuta na gesi inachangia kusaidia kupunguza ufukara hapa nchini kwetu
 
mafuta yanakufa bei unategemea nani ainvest mabilion yake ya dollar ili yaje kupotea?.
kama ni gesi kuna nchi zina infrastructure tayari na bado soko linasumbua vilevile
 
Kwa hiyo zile mbwembwe ndio zinafikia tamati?
 
source mkuuu. Habari muhimu kama hii ni vizuri uweke source
 
Mi mwenyewe nilibaki na ma ?????? kichwani

Anyway ni vizuri ulivyoulizia source na mimi naisubiri.

Ngoja niwape source ya Kibongo.

Wafanyakazi wa TPDC wa kiwanda kipya kilicho/kinachojengwa songo songo wamerudishwa nyumbani kwao kama miezi miwili iliyopita. Kiwanda hakina gesi ya kuchakata. Yaani hakuna gesi iliyounganishwa toka kwenye visima. Kama unataka maelezo zaidi, nenda tpdc watakupa ukweli wa nini kinaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…