kirang'enta
Member
- Dec 27, 2013
- 35
- 23
Wana JF habari nilizozipata muda si mrefu ni kuwa wawekezaji sekta ya gesi na mafuta nchini TZ wamepunguza uwekezaji wao kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hata wafanyakazi katika sekta hiyo wengi wameachishwa au wataachishwa kazi hivyo basi ndoto ya uchumi wa gesi imezidi kusogezwa mbele. Watangaza nia watueleze watafantaje kurekesha matumaini ya waTZ katika kuhakikisha hii raslimali ya mafuta na gesi inachangia kusaidia kupunguza ufukara hapa nchini kwetu