Wawekezaji Sekta ya Mifugo

Hee!
Kumbe hadi mabanda yana utaalamu wake.

Mm niliwaza kusimisha banda ya mgongo wa tembo lenye uwazi wa wavu kwa juu.

Kisha niwarundike humo.

Nadhani natakiwa kujifunza vingi zaidi katika hii Project.
Ni kweli ndugu utaalamu wa banda utakusaidia kuepukana na changamoto kubwa ya magonjwa ya mlipuko na kifua cha mara kwa mara ambacho huathiri sana ukuwaji wa Mbuzi na kudumaza wachanga wakiugua mara kwa mara.
 
Nashkuru sana mtumishi, kwa sasa hivi nipo kwenye ujenzi wa mabanda ya kawaida tu, nikiwa tayari by december nitafika nyumbani nijifunze kwa uhalisia zaidi.
Karibu sana ndugu Mungu abariki sana maono yako na asimame nawe ktk kuuendeleza huo mradi ufikie malengo yako, utukufu kwa Mungu juu.
 
Mbuzi dume aina ya Galla napata kwa shingapi? (Mdogo Mwenye umri wa miezi 6)
Wanapatikana Arusha ndugu na hata baadhi ya watu huku dar wapo wanaozalisha, mimi nilipatwa na shida ya ugonjwa nimepoteza Mbuzi wengi sana kwakweli, nasubiri hali itulie nianze tena,
 
Wanapatikana Arusha ndugu na hata baadhi ya watu huku dar wapo wanaozalisha, mimi nilipatwa na shida ya ugonjwa nimepoteza Mbuzi wengi sana kwakweli, nasubiri hali itulie nianze tena,
Arusha mnada gani wanauzwaa???
Nipo singida nawezaje kuwapata
 
Ndg zangu vipi soko la makondoo huko mikoani mi npo Mara na mtu akijizitatiti vizury ataweza kutoka ktk umaskini endapo akianza na makondoo mia3 majikee na madume 10...??
 
Ndg zangu vipi soko la makondoo huko mikoani mi npo Mara na mtu akijizitatiti vizury ataweza kutoka ktk umaskini endapo akianza na makondoo mia3 majikee na madume 10...??

Kwa huku DAR makondoo hayana soko kabisa.
 
Mbuzi dume aina ya Galla napata kwa shingapi? (Mdogo Mwenye umri wa miezi 6)
nilipata kutembelea Mbogo ranch iliyopo Ubena,mi nilienda kama field tour katika masuala ya mifugo. Ni share machache kuhusu farm yao pale,mi ni mara yangu ya pili kwenda pale,na sababu nilikuwa kwenye kusoma ni bahati kupatiwa elimu nyingi.NOTE! UKIENDA KUOMBA USHAURI KWA WATAALAMU WAO PALE Cost ni LAKI 3(mkurungenzi ndo alivyosema).
Kwanza pale wana breeds nyingi sana za mbuzi,Galla wakiwepo,lakin kwa size Galla anatofautiana kidogo na wa kienyeji. Pale wa Kalahari breeds,Boer breeds,n.k wana breeds 6 za mbuzi.
Kizuri pale wana mbuzi chotara kati ya hizo breeds na local ambao inawafanya wastahimili mazingira ya kawaida. Cross breeds ukienda pale utapata wa kununua,pure walisema hawauzi- labda ukifika mwenyewe lakini bei ni 2 millions mfano kwa Boer. Unaweza ukanunua moja ukawa unatumia kupandishia na wengine,of course growth rate inakuwa ya juu sana tofaut na local.
Pale kuna mengi ya kujifunza,sema sidhani kama wanaweza toa elimu bure. kuna aina ya mabanda,n.k

Cross breeds ukizipata ni nzuri zaid hata ya Galla,zile wanauza
 
Ubena ipo mkoa wa Njombe??
Na kwa muono wako ni aina gani ya mbuzi nzuri kufuga??
 
Wanapatikana Arusha ndugu na hata baadhi ya watu huku dar wapo wanaozalisha, mimi nilipatwa na shida ya ugonjwa nimepoteza Mbuzi wengi sana kwakweli, nasubiri hali itulie nianze tena,
Pole mkuu kwa changamoto ulizopata, hope hutokatishwa tamaa .natamani kuunganishwa na hao wanaokuletea nipate Gala dume la mbegu ,mi nimeanza na hawa wa kwetu kienyeji nafugia mlandizi
 
Ndg zangu vipi soko la makondoo huko mikoani mi npo Mara na mtu akijizitatiti vizury ataweza kutoka ktk umaskini endapo akianza na makondoo mia3 majikee na madume 10...??

Kondoo wanauzwaje huko ?
 
Hao mbuzi mnaosema wanauzwa Kati ya laki 3 hadi 6 ukifuga utapata soko vipi?

Hizo si bei za ng'ombe? Mikoani mbuzi hazidi 200,000 sasa hao wa bei hizo utamuuzia nani?
 
Mkuu naomba jambo kutoka kwako, hivi ni kweli mbuzi wa nyama wanatoa kati ya kilo 9 -12 tu za nyama?, na je kama si kweli wanaweza kutoa kilo ngapi Mkuu?. Sababu hii imenifanya nirudi nyuma kwanza kutafakari upya project ninayotaka kuifanya (sijaanza bado).

Pia kama hautojali naomba nijulishe utoaji wa nyama kwa aina zote za mbuzi Mkuu wa kisasa na wa kienyeji Mkuu
 
Ndg zangu vipi soko la makondoo huko mikoani mi npo Mara na mtu akijizitatiti vizury ataweza kutoka ktk umaskini endapo akianza na makondoo mia3 majikee na madume 10...??

Kwa mahali nilipo, kondoo wanalika na nyama yake inapendwa. Cha muhimu nachojifunza kwenye ufugaji wa kondoo kama utaamua kujikita hakikisha uwe na breed bora kwa ajili ya nyama, mfano dorper- hawa unaweza chinja kuanzia miezi sita na uzito wa nyama ukapata 16-20.Kondoo hawana mambo mengi, changamoto kubwa ni minyoo ( hakikisha unajipanga kupambana na hili). Kuna breed zingine kama meat master kutoka South Africa pia ni nzuri. Local breed kama Red maasai ukuaji sio wa haraka,inahitaji muda japo ni wagumu na wavumilivu kwa hali zetu.
Waturuki wanapenda sana kondoo kwa waliokwisha fanya biashara nao wanalielewa hilo, wanalipa kwa ubora.Pia soko sio ndani tu, ukijikita vizuri unasafirisha nyama packed ( tujaribu fikiria kwa upana huu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…