nilipata kutembelea Mbogo ranch iliyopo Ubena,mi nilienda kama field tour katika masuala ya mifugo. Ni share machache kuhusu farm yao pale,mi ni mara yangu ya pili kwenda pale,na sababu nilikuwa kwenye kusoma ni bahati kupatiwa elimu nyingi.NOTE! UKIENDA KUOMBA USHAURI KWA WATAALAMU WAO PALE Cost ni LAKI 3(mkurungenzi ndo alivyosema).
Kwanza pale wana breeds nyingi sana za mbuzi,Galla wakiwepo,lakin kwa size Galla anatofautiana kidogo na wa kienyeji. Pale wa Kalahari breeds,Boer breeds,n.k wana breeds 6 za mbuzi.
Kizuri pale wana mbuzi chotara kati ya hizo breeds na local ambao inawafanya wastahimili mazingira ya kawaida. Cross breeds ukienda pale utapata wa kununua,pure walisema hawauzi- labda ukifika mwenyewe lakini bei ni 2 millions mfano kwa Boer. Unaweza ukanunua moja ukawa unatumia kupandishia na wengine,of course growth rate inakuwa ya juu sana tofaut na local.
Pale kuna mengi ya kujifunza,sema sidhani kama wanaweza toa elimu bure. kuna aina ya mabanda,n.k
Cross breeds ukizipata ni nzuri zaid hata ya Galla,zile wanauza