Wawekezaji Toka China

Wawekezaji Toka China

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
mwekezaji ni mwekezaji tu
 
Lisu alishasema nchi ilishauzwa
na wakati inauzwa alikuwepo ila alikaa kimya akijua atabagein. atoke kimaisha kwa bahati mbaya kapuliziwa mbali amebaki na maneno km wewe
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Aisee..
Kwa walivyo wengi hawa wavimba macho, Wauza madafu waanze kumtafuta kazi ingine!
 
Wewe na Lissu nani anaishi maisha ya tabu? hata maza ako anatamani angeolewa na Lissu kuliko hasara ya kuolewa na dingi ako ambaye hana nyuma wala mbele
tetea point km iliuzwa na yeye alikuwa kiongozi mda huo alikuwa wapi kuyasema hayo? sa hii unaongea hivo huoni una maneno ya mkosaji.
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Ngozi nyeupe ni nyeupe tu. Jamaa anazingatia usafi hygiene. Yuko msafi kabisa. Ebu mfananishe na mmatumbi anayeuza madafu.
 
tetea point km iliuzwa na yeye alikuwa kiongozi mda huo alikuwa wapi kuyasema hayo? sa hii unaongea hivo huoni una maneno ya mkosaji.
alipokuwa akitetea kuanzia bungeni hadi pengine nje ya bunge, aliitwa msaliti na njugu akachezea.
 
Yuko Mchina mmoja Chanika ana kiduka kidogo. Amemuoa mwafrika. Inanikumbusha Washihiri wa zamani.
 
Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo

View attachment 2101146
Achen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.
 
Back
Top Bottom