Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
mwekezaji ni mwekezaji tuSijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
na wakati inauzwa alikuwepo ila alikaa kimya akijua atabagein. atoke kimaisha kwa bahati mbaya kapuliziwa mbali amebaki na maneno km weweLisu alishasema nchi ilishauzwa
Aisee..Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
Wewe na Lissu nani anaishi maisha ya tabu? hata maza ako anatamani angeolewa na Lissu kuliko hasara ya kuolewa na dingi ako ambaye hana nyuma wala mbelena wakati inauzwa alikuwepo ila alikaa kimya akijua atabagein. atoke kimaisha kwa bahati mbaya kapuliziwa mbali amebaki na maneno km wewe
tetea point km iliuzwa na yeye alikuwa kiongozi mda huo alikuwa wapi kuyasema hayo? sa hii unaongea hivo huoni una maneno ya mkosaji.Wewe na Lissu nani anaishi maisha ya tabu? hata maza ako anatamani angeolewa na Lissu kuliko hasara ya kuolewa na dingi ako ambaye hana nyuma wala mbele
Alikuwa signatory?tetea point km iliuzwa na yeye alikuwa kiongozi mda huo alikuwa wapi kuyasema hayo? sa hii unaongea hivo huoni una maneno ya mkosaji.
Ngozi nyeupe ni nyeupe tu. Jamaa anazingatia usafi hygiene. Yuko msafi kabisa. Ebu mfananishe na mmatumbi anayeuza madafu.Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146
alipokuwa akitetea kuanzia bungeni hadi pengine nje ya bunge, aliitwa msaliti na njugu akachezea.tetea point km iliuzwa na yeye alikuwa kiongozi mda huo alikuwa wapi kuyasema hayo? sa hii unaongea hivo huoni una maneno ya mkosaji.
Achen kulialia mkuu. Mbona china wapo mpaka mamantilie wa kibongo wznapika ugali na hakuna anaewabuguzi. Tusipende kubebwa kila kitu. Kama imeonekana ni fursa na znaona anaweza fanya mwache huenda kuna mbongo ataiga. Hii tabia yako wanayo wabongo wengi. Utakuta watu wako huko mikoani. Mashamba yapo makubwa tu wameacha yamekuwa pori. Ukigusa tu wanaanza kulalama mashamba yetu mashamba yetu. Tuache tabia ya kulia lia. Tupambane dunia ishakuwa kijiji.Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba uliisha akaingia kitaa anapiga mzigo
View attachment 2101146