MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Wawekezaji wa kichina walipigwa marufuku na Serikali ya Uganda kuhusu kuchimba mchanga bila ruhusa. Sasa viongozi wakafanya ziara ya kustukiza kwenye mgodi huo na kukuta hao wachina wamekaidi amri ya Serikali.
Lakini sasa baada ya kupiga marufuku wachina wakamvaa mwilini na kuanza kumkwida. Nikasema kama hawakupenda hiyo amri au wanahisi kuonewa kwanini wasingeenda mahakamani ???
Na kwanini Wachina wanapata ujasiri wa kujifanyia wanachotaka hapa barani kwetu ???
Nijuavyo mimi Wachina wakiwa kwao hawawezi kabisa kuwa na jehuri ya kubishana na vyombo vya dola...
Lakini huu ujehuri wanautoa wapi ???
Hivi sisi tunaojifanya ni wajamaa tunaweza kuwaambia chochote hawa Wachina ???
Tena walivyojaa hapa nchini kuanzia jeshini, hatujauza uhuru wetu kweli ??