Wawekezaji wa kichina wakaidi amri ya viongozi wa Uganda na kuanza kupigana

Wawekezaji wa kichina wakaidi amri ya viongozi wa Uganda na kuanza kupigana

Nimependa huyo mganda mwenye fulana alikuwa anampa vitasa vya nguvu viwili vitatu yule mchina.

Maaninah zake!
 
sasa km rais mwnyw hahehimu wala kujali wananchi wake mtu wa nje atawaheshimu mkuu? hawa wachina wana nidhamu sana wakiwa kwao ila wanayoyafny huku kwetu ni aibu, kiufupi hawa watu weupe wanatudharau sana aisee
Kwao huwezi kukuta wanafanya ujinga kama huu, polisi wao ni makatiri sana.
Afrika unaweza ukafanya kitu kibaya kwa raia wenyeji na bado usiguswe na mtu.
 
Tena binafsi nahisi Uchina ni hatari kuliko hata mzungu,
That’s true lakini hakuna watu wenye mapembe kama Watanzania walahi!
Wana vijijini wana wapa shida sana hawa watu walahi!
Na wachina wanatuogopa kweli kweli!
Watanzania tuna nguvu ya ziada, huwa hatuwa ogopi hawa watu weupe kwenye kudai haki yetu walahi!
 
Tena binafsi nahisi Uchina ni hatari kuliko hata mzungu,
may be, but hawa watu wapo kwa maslahi yao tu hili viongozi wetu lazima walitambue, tulishapoteza mda mwngi sana na wazungu sasa naona tunaelekea kupoteza mda mwng na mchina, kesho na keshokutwa tutastuka mchina nae ni mwizi tutakimbilia kwa muhindi, wenzetu wa Asia wameshaanza stuka malysia, myanmar na sasa imran khan naye anareview mikataba yao na wachina ili kuhakikisha inakuwa na usawa, sasa najiuliza kama mataifa km pakistan na malysia nayo yamechezewa na foul na china mataifa ya africa itakuwaje hasa ndugu zetu ethiopia na wakenya? bora sisi japokuwa tuna matatizo yetu ila kdg huwa hatukurupuki moja kwa moja
 
Ivi Kwa nn wasingezima camera zao. Wakawapiiiiiga nusu kuwauwa. Inakera sana
Kweli wewe superwoman.
Yule boya wa kichina alitakiwa atemeshwe ngese.
Ateme nyekundu tupu uso uumuke kama kameza baking powder.

Analeta dharau nchi ya watu!
 
Tena kama wewe hivi naweza kubadilishana nao na kibakuli cha SUSHI au hata bure kabisa nawapa.
Hahahaha nakaa nao na kufanya biashara nao nyingi tu!
Kiboko yao ni mtanzania akinuimwa haki yake!
Uwiii weee acha tu walahi!
Maana wana kijiji hawana mchezo kabisa na hawa watu!
Mind set ya mtanzania huwa haimwogopi mtu mweupe kabisa walahi!
 
may be, but hawa watu wapo kwa maslahi yao tu hili viongozi wetu lazima walitambue, tulishapoteza mda mwngi sana na wazungu sasa naona tunaelekea kupoteza mda mwng na mchina, kesho na keshokutwa tutastuka mchina nae ni mwizi tutakimbilia kwa muhindi, wenzetu wa Asia wameshaanza stuka malysia, myanmar na sasa imran khan naye anareview mikataba yao na wachina ili kuhakikisha inakuwa na usawa, sasa najiuliza kama mataifa km pakistan na malysia nayo yamechezewa na foul na china mataifa ya africa itakuwaje hasa ndugu zetu ethiopia na wakenya? bora sisi japokuwa tuna matatizo yetu ila kdg huwa hatukurupuki moja kwa moja
Well said
Tuamke wenyewe na tupigane na umaskini ndio dawa yenyewe walahi!
Tuache uvivu !
 
Viwatu vifupi fupi, waganda wamekua kama wanaume wa dar? Vilitakiwa viloeshwe haswa yani unapiga kama mwizi.
 
Acheni kulala chini kila mnaposhikwa mgongo, hiyo incidence mmeionea kuanzia kati kati tayari mshashoboka tunadharauli bara zima. Nani anajua huyo 'bwana minista' amewafanya nini hao Wachina?

Mkumbuke kuwa kwa nchi zinazoongozwa kifalme kama hiyo ya Kabaka kuna uwezekano Hu Ha walipewa permit na afisa A na sasa afisa B anatafuta ujiko asifiwe na mfalme na kwa kuwa Hu Ha sio wanyenyekevu (hewala hewala) ndio wameamua wakinukishe
 
Back
Top Bottom