Wawekezaji wanauza kwa wingi hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki, na hivyo kuhatarisha uwekezaji wao. Wawekezaji kutoka Benki ya CRDB, Vodacom, Benki ya NMB na TICL ndio wanaongoza kwa kuuza hisa zao.
Hiyo ya CRDB ilitabirika tangu habari za Kimei kuondoka zilipoanza. Watch this bank. Nilimsikia juzi CEO mpya akiongea mara ya kwanza na nikamuona ni mwanasiasa sana.