Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Wawekezaji wanauza kwa wingi hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki, na hivyo kuhatarisha uwekezaji wao. Wawekezaji kutoka Benki ya CRDB, Vodacom, Benki ya NMB na TICL ndio wanaongoza kwa kuuza hisa zao.