Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

Hahahahahahaha
 
Hebu tueleweshe, Kwani kuwa mchawi Tz ni kosa kisheria? Kuwa tapeli ni jinai. Kwahiyo hapa sheria inatamlamba mchungaji na sio mchawi.

Come again…….
 
Roman Catholics hawanaga hizi habari za maombi yenye lengo la kufanya miujiza
 
Wagalatia tunakwama wapi?

Accumen Mo adriz
 
Hebu tueleweshe, Kwani kuwa mchawi Tz ni kosa kisheria? Kuwa tapeli ni jinai. Kwahiyo hapa sheria inatamlamba mchungaji na sio mchawi.
Utapeli ni nini ? Na tapeli hapa ni nani kamtapeli nani ?

Lengo la mpango huu polisi inasema ni kujipatia waumuni. Sio pesa, waumini!

Sasa utapeli hapa unakuja vipi wakati hakuna aliyenufaika na hela zaidi ya mchawi? Tuseme mchawi kamtapeli mhubiri ?

Au kuwa na waumini maana yake kujipatia fedha. Which is an indictment of the whole church institution, yani Polisi imehukumu dhana nzima ya imani, shughuli na taasisi zote za kidini na kiimani, kwamba waendesha ibada ni wasaka tonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…