Wawili wafa kwa radi Mkoa wa Rukwa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Jana,katika Mkoa wa Rukwa watu wawili wameuawa kwa kupigwa radi walipokuwa shambani baada ya mvua kunyesha kidogo mchana kweupe.
Shuhuda mmoja wa hili tukio amesema,"Kama yupo mtu yoyote aliyefanya hiki kitendo,anapaswa kuona aibu. Angalia watu wote hawa wanavyolia!"
Waliokufa ni mama na mtoto wake.
 
Uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…