Wawili wafikishwa mahakamani kwa kutaka pesa kwa nguvu huku wakitishia kuvujisha video za mapenzi

Wawili wafikishwa mahakamani kwa kutaka pesa kwa nguvu huku wakitishia kuvujisha video za mapenzi

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Mwanamke Mmoja na mpwa wake wamefikishwa Mahakamani nchini Uganda Wakituhumiwa kuingia nyumbani kwa Mwanaume na kujificha juu ya dari kisha kumrecord Video wakati akijamiiana na baadaye wakamtaka alipe Mil 150 ya Uganda ili wazivujishe Mzigo huo (Video) Mtandaoni,

Wawili hao wameshtakiwa kwa kosa la kutaka kitu kwa nguvu tena kwa njia ya kutishia na kufanya uharifu.

======

Three people accused of stealthily entering someone’s house and recording a video that allegedly showed him in compromising positions which they later used to threaten him have been charged

The court heard that the three, a husband, wife and their 22-year old niece also demanded that if he did not pay them 150 million shillings, they would make the video public

Uganda.jpg

 
Futuhi wanaweza waige hiii, Ila hukusema kama alikua na mkewe au
 
Back
Top Bottom