Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Mbona ngoma kali kimtindo

Raia wameadhirika na Darasalism

Weka MUSIKI
 
wimbo √
beat [emoji122][emoji123][emoji122][emoji123][emoji122][emoji123]
video [emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]

yani producer nmemuelewa...
huu wimbo ni miongoni mwa nyimbo bomba za joh, Kama nusu nusu &don't bother[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

ametisha Kama kawaida[emoji179][emoji179]
 
Ngoma kali mno hii haijawahi kutokea, japo najua wapo waliojiandaa kuHATE kitu hata kama hwajakisikia!!
Mimi nawashangaa ,siwaelewi
huu wimbo tuseme ndo ungedondoka wcb
saivi ungekua ndo wimbo wa Africa
....
joh ana rafudhi ambayo hata Kama huelewi lugha utaipenda
 
Ebu toayako tuiskie au unaandika tu kwavile vidole ni vyako
 
hii ni laana ya kumkimbia producer nah real na kumuongelea shit kwenye media wakati hela ya studio alikuwa halipi
 
DARASA bado kateka akili za watu

Acha maneno weka Musiki
Darassa amebadilisha sana fikra na asusa ya muziki kwa watanzania. Hilo halina ubishi. Kila wimbo unaotolewa kipindi hiki unabidi ujipange la sivyo unazusha marumbano na utakosolewa sana. Watetezi wako watatumia nguvu kubwa sana kukutetea. Cha msingi wanabongo fleva wanatakiwa waongeze ubunifu, walaji kuna kitu wanahitaji tofauti na mazoea yaliyokuwepo zamani.
 
Wewe in hater unajificha kwenye kichaka cha big fan
Neno WAYA lilivyotumika humu linajieleza clear kabisa unless upeo wako ni mdogo kutambua fasihi,
Neno WAYA ilivyotumika humu maana yake in "nikikupigia simu"
Mstari unasema " nakivuta Waya... WAya.. Ujue nimejikoki"
Apo maana inajieleza kabisa.
Pili katika Sana'a sio lazima litamkwe moja kwa moja ndo maana hata wimbo wa ZIGO ukiangalia hakuna sehemu limetumika neno ZIGO
 
Kawaida mgonjwa akiwa hatulii na amechachamaa jua dawa imemuingia, sasa haters nawaomba mtulie ili dawa ifanye kazi vizuri. Na nikivuta wayaaa tayari nishajikoki...
Hahaha kweli kabisa dawa inaingia kwa maumivu lakini ndo tuba
 
Sio kwamba nyimbo mbaya hapana ila sio nyimbo kali kwa level za Joh makin
 
Hivi unadhani Joh alikua hana nyimbo mpaka huyo Killer alivyoongea upuuzi ndiyo akatoa nyimbo?

Katazame number 1 trending kwenye you tube ni nani.
Kila mtu anasikia tu joh katoa ngoma mbovu so wanajazana huko kushuhudia
 
Hizi nyimbo mbili perfect combo na hii zimemshusha vyeo!
Si vibaya akirudi hata kwa Pancho latino
Mimi perfect combo nilielewa sana halafu perfect combo kaitengeneza prod wa kenya jina nimemsahau origin yake ni burundi sio lufa.
ila huu wire nimeshindwa hata kuumalizia
 
Inaitwa sanaa and honestly joh kiatendea haki hyo beat kwaupande wangu hyo sio ngoma yakuchuja mapema #forthosewhoknow#goodmusic#mporiporihutaelewa
 
huu wimbo bhana ni mzur sana tu lkn nikiambiwa nipange list ya nyimbo za joh kwa factor ya uzur....basi huu ntauweka wa mwisho.......yani chini kabisa.....ila sio m'baya.
 
Ww tattizo lako hitaki ukweli acha ukweli usemwe mbona wati wasidis kamosabe ya fid q wadiss tu huo waya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…