Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu hawa ni wa kupuuzaKweli alafu Hawa wataalamu wa JF wasanii wao wanaowasifia ukienda kwenye matamasha yao utawaonea huruma hakuna watu hao wakina songa, niki mbishi na wengine.
Hawa wakina job making wanaopiga kelele humu wanabebwa ndo wanaoamsha na shangwe na kuzaja nyomi kwenye matamasha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuwqkipimo hicho hicho ulichokitumia wewe kujua huo wimbo ni mkali mimi kimenipa majibu kuwa ni mbaya
Ngoma kali sana...mbona me nimeupenda labda useme video kidogo kama imepoa
Mimi kipimo changu no hiki tangu wimbo umetoka unashika namba 1 kwenye trendkipimo hicho hicho ulichokitumia wewe kujua huo wimbo ni mkali mimi kimenipa majibu kuwa ni mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anazingua eti anauliza nimetumia kipimo gani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuwq
Anaomba namba ya dem then akijipanga atamvutia waya.Habarini Wadau,
Kwanza niweke wazi kuwa sina chuki na mwimbaji yeyote wa HipHop hapa Bongo
Pia nimekuwa nikipenda kufuatilia sana pini zote za JOH, kuanzia tracks kama chochote popote, Ufalme, stimu zimelipiwa na hata mchano wake katika Gere n.k
ILA HII WAYA ni hakuna kitu kabisa na itamshusha sana. Sababu ni:-
◆ Kwanza hajachana ni Ameimba na Hawezi kuimba.
◆ Producer aliyetengeneza hii ngoma sijui alikuwa anasinzia kwa kula unga?
◆ Hakuna Uhusiano wa neno "WAYA" na alichoimba...mfano:- "Excuse me miss/girl can I gonna hv yo # "...something like those shits n blah blah..
◆ Kiingereza kilichotumika ni kibovu sana.
Ikiwa kuna uwezekano wa kucorrect errors za huu wimbo Joh Makini arekebishe kabla hajachekwa zaidi.
NAWASILISHA.
me nimeikubali na nimeielewaNgoma kali sana...
Hivi ulitaka wimbo anaotoa Joh Makin upokelewe vipi huko youtube? wengi wanautazama kwa kuwa tu ametoa Joh Makin ila hapo hakuna jipya... hicho sio kipimo sahihiMimi kipimo changu no hiki tangu wimbo umetoka unashika namba 1 kwenye trend
View attachment 464235
Lete na wewe kipimo chako ?
We we hivi unadhani wapenzi wa muziki wote wanafiki kama wewe?Hivi ulitaka wimbo anaotoa Joh Makin upokelewe vipi huko youtube? wengi wanautazama kwa kuwa tu ametoa Joh Makin ila hapo hakuna jipya... hicho sio kipimo sahihi
Wanavyozidi kusema ni mbaya, ndivyo watu wanavyomiminika youtube kwenda kuangalia lisemwalo lipo,Haters ndio wanafanya huu wimbo ubambe, wamejazana You Tube wapate cha kukosoa
Naona unatafuta umaarufu kupitia mimi, kaza buti mwananguWee utakua una mimba acha kusingizia wimbo.
Mkuu...isije ikawa wewe umeyaandika hayo kishabiki,
I'm a big fan of JOH na sio hater....na zaidi sio namdis yeye....naudis huu wimbo na aliyeproduce.
Ni kweli kuna mahali amechana pia ila:-
Wewe kama unajua ngoma za Joh Makini, hii unaikubali haswaa kwa 100% ?
Hebu tuambie association ya neno "Waya" na aliyoimba na kuchana.
Boss, sikatazi mtu kudiss wimbo. Nachosema ni kwamba unapodiss ngoma ya mtu njoo na real critical points zilizo clear. Mf. Sema 'verse 1 katoka nje ya beat' au verse one anaimba matusi tu kama vile A, B na C'. Sio mtu anasema tu huu wimbo mbaya bila kutoa sababu na ushahidi wa sababu hizo.Ww tattizo lako hitaki ukweli acha ukweli usemwe mbona wati wasidis kamosabe ya fid q wadiss tu huo waya