Itakua ujanielewa mkuu!Unajua maana ya sanaa? Au hata fasihi katika Sanaa
Unaujua wimbo wa Zigo wa AY? Nenda kasikilize uone kama Zigo imetumika katika mashairi take
Alafu urudi tena kutoa hoja
Fid Q msukuma wa MzaKumbe fid Q ni mchaga?
Wala sizungumzii beat, katika literature kuna vitu viwili huwa tunavitazama navyo ni kufaulu na kufeli kwa mwandishi/msanii, hivi vitu vipo tu na wala haiwi dhambi pale inapotokea msanii akafeli.Yani msanii wa rap akitumia beat ya dance hall anakua ame-underperform?
kipimo hicho hicho ulichokitumia wewe kujua huo wimbo ni mkali mimi kimenipa majibu kuwa ni mbayaUmetumia kipimo gani kupima?
Saafi broWewe in hater unajificha kwenye kichaka cha big fan
Neno WAYA lilivyotumika humu linajieleza clear kabisa unless upeo wako ni mdogo kutambua fasihi,
Neno WAYA ilivyotumika humu maana yake in "nikikupigia simu"
Mstari unasema " nakivuta Waya... WAya.. Ujue nimejikoki"
Apo maana inajieleza kabisa.
Pili katika Sana'a sio lazima litamkwe moja kwa moja ndo maana hata wimbo wa ZIGO ukiangalia hakuna sehemu limetumika neno ZIGO
Jambo gumu gani ambalo unataka akuimbie ili uone ukongwe wake?Wala sizungumzii beat, katika literature kuna vitu viwili huwa tunavitazama navyo ni kufaulu na kufeli kwa mwandishi/msanii, hivi vitu vipo tu na wala haiwi dhambi pale inapotokea msanii akafeli.
Kuna vipengere vya fani na maudhui. msanii anaweza akafanikiwa kwenye kipengere kimoja na akafeli kwenye kingine au anaweza kufaulu kwenye vipengere vyote au akafeli vyote, ni kawaida hayo kutokea.
Wasanii wengi hawajali sana maudhui bali huzingatia kipengere cha fani (wanasema biashara ndio inataka hivyo). Joh nae ameangukia huko (sio dhambi) ila dhambi inakuja pale anapopodoa staili sana mpaka anaboa.
Flow mbaya (kwa upande wangu), analazimisha kufanya vitu asivyoweza, wachache wamebarikiwa kuimba na kuchana mfano ni dogo Janja. so kifani Joh amepuyanga.
Kwenye maudhui ndio hovyo kabisa. Kwa msanii wa kariba ya Joh ile sio size ya wimbo anaotakiwa kutupa mashabiki. wimbo mwepesi hauna fikra, yaan kakurupuka. Kwa sasa kinachomuweka juu ni historia yake tu na wala sio hiz track mbovu anazotoa. Najiuliza kama Joh ndio anatunga hivi, akina Harmorapa watatunga nini?
Hawa washamba wakisikia msanii wa rap wanataka afoke-foke kama Kalapina, sasa Joh kutumia beat la Dance Hall washamba hawaelewi wanakosoa nini.mbona me nimeupenda labda useme video kidogo kama imepoa
ni kuwaacha na kuenjoy musicHawa washamba wakisikia msanii wa rap wanataka afoke-foke kama Kalapina, sasa Joh kutumia beat la Dance Hall washamba hawaelewi wanakosoa nini.
Usojua maana ya waya utateseka sana kweny huu ulimwengu wa teknolojia, refer movie goes by "The Wire"Habarini Wadau,
Kwanza niweke wazi kuwa sina chuki na mwimbaji yeyote wa HipHop hapa Bongo
Pia nimekuwa nikipenda kufuatilia sana pini zote za JOH, kuanzia tracks kama chochote popote, Ufalme, stimu zimelipiwa na hata mchano wake katika Gere n.k
ILA HII WAYA ni hakuna kitu kabisa na itamshusha sana. Sababu ni:-
◆ Kwanza hajachana ni Ameimba na Hawezi kuimba.
◆ Producer aliyetengeneza hii ngoma sijui alikuwa anasinzia kwa kula unga?
◆ Hakuna Uhusiano wa neno "WAYA" na alichoimba...mfano:- "Excuse me miss/girl can I gonna hv yo # "...something like those shits n blah blah..
◆ Kiingereza kilichotumika ni kibovu sana.
Ikiwa kuna uwezekano wa kucorrect errors za huu wimbo Joh Makini arekebishe kabla hajachekwa zaidi.
NAWASILISHA.
kwa hiyo kuwa namba 1kwenye trending ndio inaonyesha kuwa ngoma kali? nishakuambia Joh anatumia ukongwe wake kuu push huu wimbo.Jambo gumu gani ambalo unataka akuimbie ili uone ukongwe wake?
Yani unavyomuona ameralax kwenye beat la dance hall unaona ni kazi nyepesi sana amefanya?
Ngoma imetoka tarehe 25 January 2017 ona matokeo yake hapa chini:
Kweli alafu Hawa wataalamu wa JF wasanii wao wanaowasifia ukienda kwenye matamasha yao utawaonea huruma hakuna watu hao wakina songa, niki mbishi na wengine.ni kuwaacha na kuenjoy music
Kuvuta waya maana yake kupiga simu..Habarini Wadau,
Kwanza niweke wazi kuwa sina chuki na mwimbaji yeyote wa HipHop hapa Bongo
Pia nimekuwa nikipenda kufuatilia sana pini zote za JOH, kuanzia tracks kama chochote popote, Ufalme, stimu zimelipiwa na hata mchano wake katika Gere n.k
ILA HII WAYA ni hakuna kitu kabisa na itamshusha sana. Sababu ni:-
◆ Kwanza hajachana ni Ameimba na Hawezi kuimba.
◆ Producer aliyetengeneza hii ngoma sijui alikuwa anasinzia kwa kula unga?
◆ Hakuna Uhusiano wa neno "WAYA" na alichoimba...mfano:- "Excuse me miss/girl can I gonna hv yo # "...something like those shits n blah blah..
◆ Kiingereza kilichotumika ni kibovu sana.
Ikiwa kuna uwezekano wa kucorrect errors za huu wimbo Joh Makini arekebishe kabla hajachekwa zaidi.
NAWASILISHA.