Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Asee nilisoma coments kabla sijasikiliza nyimbo, ni nyimbo nzuri sana,
Pia nasikitishwa na vilaza wanaodai hamna conection ya neno waya na mashairi, pengine hamjasikiliza nyimbo umeishia kufuata mkumbo na kucoment, toka nimeisakinisha nimeisikiliza zaidi ya mara 15
 
We dogo kuwa na nidhamu!
huo ni muono wako wewe, unaeza jikuta wewe ndio kilaza
 
Hujui muziki so sio kosa lako,au ni mfuasi
 
Ngoma inashika namba 1 saivi kwenye trend ya youtube , hao wana hiphop wengine tunawapenda lakini ndo wajiongeze kujitangaza, mfano kwa sasa Johmakini yupo Kenya anapiga media tour kuutangaza wimbo wake .

Maua sama anajua kuimba lakini anazidiwa ujanja na Vanessa kwaajili ya kujitangaza.Acha waendelee kulala tu na kujisifu wanajua kuimba.Muziki biashara saivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…