Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
HIYO NI LAANA YAKUMKIMBIA PRODUCER WAKE NAH REAL
Hajamkimbia Nahreal just kaamua kubadili ladha tu....TATZO KAMKIMBIA PRODUCER WAKE NAH REAL
Acha uzush kusifia vitu vya ajabu,, nyimbo n mbovu sana,,, sasa anaimba nn kuna nyimbo kali zaid ya hii aliyotoa joh lakin azipat airtime.... Nyimbo ya songa feat jay moe mwendo tu,, n nyimbo kubwa sana lkn hazina airtime ila hawa wasanii wa media ndo wanapata airtime kwenye radio yao... Ukwel tuache watu waseme na tuache kushabikia kwa mapenz ya mtu bila kutathimin kaz yake ina ubora kias gan..Acha uchawi were nyimbo mbona nzuri tu na itafanya vizuri, John making amejaribu radha nyingine music tofauti na tulivyomzoea
Ni kitu kizuri
Labda kwa mbeleko ya chuma!'Mademu wanajifanya wamelewa kumbe wana-stress za kuolewa' hahaaa
Haka kanyimbo kata-hit tu kimzaha mzaha 'Tz Jay z'
Kemosabe ilitoka tangu 2015 mkuu!Kazingua alivyoimba ni bora angemuweka msanii aimbe kolas kajitahidi mana mshindan wake katóa nyimbo inaitwa nyimbo inaitwa kemosabe aeleweki fid mwisho wa siku kúishia kusifiwa tú na wahun
Mkuu ipe muda utaona mziki wa siku hizi hauhitaji kuumiza kichwa zaidi ya kuweka vijiurembo ... fasihi ya mziki now days ni kuburudisha tu haihitaji kuelimisha. Amini hii ngoma lazima iwe hitLabda kwa mbeleko ya chuma!
Joh hajawahi kuwa na producerTATZO KAMKIMBIA PRODUCER WAKE NAH REAL
Mkuu kijuso mmeizika wapi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]To be honest joh kakurupuka ajipange
Mkuu hip hop haiimbwi, hip hop ni utamaduni.Mimi hiphop ya ckuiz c ielewi kabisa yani cjui wanaimba hiphop gani mm kiukweli nashindwa ielewa..
Ivi hiphop ku determine kama hii ngoma ni hiphop ni mdundo wa iyo nyimbo au mashairi ya yaliyo ndani na jinsi ya uyo msanii anavyo imba kufoka au vp mana hata rege huwa wanafoka even mziki wa dansi??mana joh makin mm naona kama anaimba bongofreva michano na c hiphop.
hiphop walioimba miaka ya 90s kwa wasanii wa bongo kama sugu,wale washikaji wa chuga wale nishawasahau mda mrefu sana tofauti kwa mfano pia ukiangalia hata kwa wasanii wa marekani wa hiphop kipindi cha nyuma kama wakina Ice cube,easy E,dr dre,common,erick b,nought by nature,public enemy wale wakina careless one,2pac,b.i.g natorious ,snoop walikuwa wanafanya hiphop kweli yani hata nyimbo ukiangalia ukisikiliza ni ya kihophop kweli.
ila awa wa kina johmakini cjui ney wa mitego nikiwapili g walawala ivi wanaimba hiphop au ni style gani ya mziki wanayofanya nashindwa waelewa kwakweli mtu anapiga piga makelele tuu kiukweli kwa bongo mm watu wanaimba hiphop naona wakuhesabika kama sana yani ckuiz coni radha ya hiphop ya miaka ile ya 90s dah nimemiss sana ile hiphop...
Achana na washamba hao.Kubadili producer kupata flavor tofauti ni kumkimbia mtu?
[emoji23] [emoji23] yani unafananisha dab music ya kina songa na ngoma kali kama hii alafu unasema joh anabebwa?Acha uzush kusifia vitu vya ajabu,, nyimbo n mbovu sana,,, sasa anaimba nn kuna nyimbo kali zaid ya hii aliyotoa joh lakin azipat airtime.... Nyimbo ya songa feat jay moe mwendo tu,, n nyimbo kubwa sana lkn hazina airtime ila hawa wasanii wa media ndo wanapata airtime kwenye radio yao... Ukwel tuache watu waseme na tuache kushabikia kwa mapenz ya mtu bila kutathimin kaz yake ina ubora kias gan..
kuna movie inaitwa straight outta compton itafute hii movie ndo utajua hiphop ni utamaduni au kuimba iangalie vzr sana ndo utajua unavyosema ni utamaduni na c kuimba co kweli...Mkuu hip hop haiimbwi, hip hop ni utamaduni.
Unaposema eti "wanaimba hip hop gani" unakosea sana hamna kitu kama hicho.
Mkuu Lekatugitige vipi [emoji23] [emoji23]Mbovu....angeimba kama perfect combo