Mimi hiphop ya ckuiz c ielewi kabisa yani cjui wanaimba hiphop gani mm kiukweli nashindwa ielewa..
Ivi hiphop ku determine kama hii ngoma ni hiphop ni mdundo wa iyo nyimbo au mashairi ya yaliyo ndani na jinsi ya uyo msanii anavyo imba kufoka au vp mana hata rege huwa wanafoka even mziki wa dansi??mana joh makin mm naona kama anaimba bongofreva michano na c hiphop.
hiphop walioimba miaka ya 90s kwa wasanii wa bongo kama sugu,wale washikaji wa chuga wale nishawasahau mda mrefu sana tofauti kwa mfano pia ukiangalia hata kwa wasanii wa marekani wa hiphop kipindi cha nyuma kama wakina Ice cube,easy E,dr dre,common,erick b,nought by nature,public enemy wale wakina careless one,2pac,b.i.g natorious ,snoop walikuwa wanafanya hiphop kweli yani hata nyimbo ukiangalia ukisikiliza ni ya kihophop kweli.
ila awa wa kina johmakini cjui ney wa mitego nikiwapili g walawala ivi wanaimba hiphop au ni style gani ya mziki wanayofanya nashindwa waelewa kwakweli mtu anapiga piga makelele tuu kiukweli kwa bongo mm watu wanaimba hiphop naona wakuhesabika kama sana yani ckuiz coni radha ya hiphop ya miaka ile ya 90s dah nimemiss sana ile hiphop...