chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Oyaa hebu acha kunichosha, hamna mziki unaoitwa Hiphop ,kuna movie inaitwa straight outta compton itafute hii movie ndo utajua hiphop ni utamaduni au kuimba iangalie vzr sana ndo utajua unavyosema ni utamaduni na c kuimba co kweli...
Ukiona nyimbo haipati airtime ujue mbaya watu hawairequest unategemea nini?Acha uzush kusifia vitu vya ajabu,, nyimbo n mbovu sana,,, sasa anaimba nn kuna nyimbo kali zaid ya hii aliyotoa joh lakin azipat airtime.... Nyimbo ya songa feat jay moe mwendo tu,, n nyimbo kubwa sana lkn hazina airtime ila hawa wasanii wa media ndo wanapata airtime kwenye radio yao... Ukwel tuache watu waseme na tuache kushabikia kwa mapenz ya mtu bila kutathimin kaz yake ina ubora kias gan..
Hawamjui Joh Makini,jamaa amewahi toa hit na maproducer tofautiKubadili producer kupata flavor tofauti ni kumkimbia mtu?
ivi we umeanza sikiliza lini mziki unaujua mziki kweli ww...???unazingua ww eti hakuna mziki unaitwa hiphop ila ni utamaduni kama ni utamaduni kwnn kwny awards mbalalimbali kunakuwa na categories zake we jamaa unavyonekana mzik8 uujui afu unajifanya mjuaji eti hiphop ni utamaduni na c mziki kama kitu ukijui ebu kaa kimya tuu..Oyaa hebu acha kunichosha, hamna mziki unaoitwa Hiphop ,
Hiphop ni utamaduni na una elements zake, nenda google jisomee acha kujitia aibu.
media nyingi za kibongo ni upendeleo tuu kwn uongo hasa clauds media wanachagua badhi ya mziki unakataa nn sasa...kuna kipindi walikuwa awapigi singeri wakasema uko locally auko internatinal walivyoona E.Fm wanapiga singeri nao wakanza piga ww unasema eti ukiwa na nyimbo mbaya aitopigwa media za kibongo ni upendeleo tuu..Ukiona nyimbo haipati airtime ujue mbaya watu hawairequest unategemea nini?
Kizuri hakijifichi mistake kusingizia media acha fikra za kimasikini, unavuna ulichopanda
Hivi ndivyo watanzania walivyo..hahaha.Nyimbo mbaaaaya sana ila sijaisikiliza bado.
Nyimbo nzuri hata isipopigwa clouds inavuma tu, mbona ndi ndi ndi ya jaydee haikupigwa clouds lakini ilihit Tanzania nzima, mziki mzuri hats usipopigwa radioni haujifichi hakuna cha upendekeo eti ndo sababu ya kina songa kutofanya vizuri in wao wenyewe tu kutojua watanzania wanapenda mziki wa aina ganimedia nyingi za kibongo ni upendeleo tuu kwn uongo hasa clauds media wanachagua badhi ya mziki unakataa nn sasa...kuna kipindi walikuwa awapigi singeri wakasema uko locally auko internatinal walivyoona E.Fm wanapiga singeri nao wakanza piga ww unasema eti ukiwa na nyimbo mbaya aitopigwa media za kibongo ni upendeleo tuu..
Na wewe ingia studio kaimbe tuone.Ujakosea mkuu hakuna ngoma mbaya ya makini kama hiii mhhh....
Naona kamkimbia darasa naye anaimba
Tatzo unawawaza sana kina kiba na mondMkuu kijuso mmeizika wapi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uko sahihi mkuuNyimbo nzuri hata isipopigwa clouds inavuma tu, mbona ndi ndi ndi ya jaydee haikupigwa clouds lakini ilihit Tanzania nzima, mziki mzuri hats usipopigwa radioni haujifichi hakuna cha upendekeo eti ndo sababu ya kina songa kutofanya vizuri in wao wenyewe tu kutojua watanzania wanapenda mziki wa aina gani
Hata darasa mwanzo alikuwa anaimba mziki ambao watanzania hawauelewi lakini sasahivi unaona anapasua anga
Hao wakina songa sijui tamaduni music watakapoelewa watanzania wanataka mziki gani na wao watashine
Nyie endeleeni kuwasifia wanaimba hip hop halisi watakufa maskini hata uko marekni kwenyewe sikuhizi wanahip hop wanaimba tap music.
Sasahivi hadi wakina Nas coba wanabadilika