Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

vyote vina shabiriana kuimba na utamaduni pia na ndomana nikasema hiphop ya ckuiz c ielewi...
 
kuna movie inaitwa straight outta compton itafute hii movie ndo utajua hiphop ni utamaduni au kuimba iangalie vzr sana ndo utajua unavyosema ni utamaduni na c kuimba co kweli...
Oyaa hebu acha kunichosha, hamna mziki unaoitwa Hiphop ,

Hiphop ni utamaduni na una elements zake, nenda google jisomee acha kujitia aibu.
 
Acha uzush kusifia vitu vya ajabu,, nyimbo n mbovu sana,,, sasa anaimba nn kuna nyimbo kali zaid ya hii aliyotoa joh lakin azipat airtime.... Nyimbo ya songa feat jay moe mwendo tu,, n nyimbo kubwa sana lkn hazina airtime ila hawa wasanii wa media ndo wanapata airtime kwenye radio yao... Ukwel tuache watu waseme na tuache kushabikia kwa mapenz ya mtu bila kutathimin kaz yake ina ubora kias gan..
Ukiona nyimbo haipati airtime ujue mbaya watu hawairequest unategemea nini?
Kizuri hakijifichi mistake kusingizia media acha fikra za kimasikini, unavuna ulichopanda
 
Aisee.....sikuamini mlivyosomea mbaya, nimesikiliza hata nusu sijafika - beats kulia, vocal kushoto, hamna kuimba kwa key wala nini ni mwendo wa shaghala bagala tu.

Kelele si kelele....ulevi kila kitu ndani. Yani vululuvululu. Ajipange upya!
 
Naona umempigia promo bila ya ww mwenyewe kujua ...ngoma nzuri.
 
Oyaa hebu acha kunichosha, hamna mziki unaoitwa Hiphop ,

Hiphop ni utamaduni na una elements zake, nenda google jisomee acha kujitia aibu.
ivi we umeanza sikiliza lini mziki unaujua mziki kweli ww...???unazingua ww eti hakuna mziki unaitwa hiphop ila ni utamaduni kama ni utamaduni kwnn kwny awards mbalalimbali kunakuwa na categories zake we jamaa unavyonekana mzik8 uujui afu unajifanya mjuaji eti hiphop ni utamaduni na c mziki kama kitu ukijui ebu kaa kimya tuu..
 
Ukiona nyimbo haipati airtime ujue mbaya watu hawairequest unategemea nini?
Kizuri hakijifichi mistake kusingizia media acha fikra za kimasikini, unavuna ulichopanda
media nyingi za kibongo ni upendeleo tuu kwn uongo hasa clauds media wanachagua badhi ya mziki unakataa nn sasa...kuna kipindi walikuwa awapigi singeri wakasema uko locally auko internatinal walivyoona E.Fm wanapiga singeri nao wakanza piga ww unasema eti ukiwa na nyimbo mbaya aitopigwa media za kibongo ni upendeleo tuu..
 
Hilo ndo zao la arusha ndo msanii mkali kushinda wote arusha
 
media nyingi za kibongo ni upendeleo tuu kwn uongo hasa clauds media wanachagua badhi ya mziki unakataa nn sasa...kuna kipindi walikuwa awapigi singeri wakasema uko locally auko internatinal walivyoona E.Fm wanapiga singeri nao wakanza piga ww unasema eti ukiwa na nyimbo mbaya aitopigwa media za kibongo ni upendeleo tuu..
Nyimbo nzuri hata isipopigwa clouds inavuma tu, mbona ndi ndi ndi ya jaydee haikupigwa clouds lakini ilihit Tanzania nzima, mziki mzuri hats usipopigwa radioni haujifichi hakuna cha upendekeo eti ndo sababu ya kina songa kutofanya vizuri in wao wenyewe tu kutojua watanzania wanapenda mziki wa aina gani
Hata darasa mwanzo alikuwa anaimba mziki ambao watanzania hawauelewi lakini sasahivi unaona anapasua anga
Hao wakina songa sijui tamaduni music watakapoelewa watanzania wanataka mziki gani na wao watashine
Nyie endeleeni kuwasifia wanaimba hip hop halisi watakufa maskini hata uko marekni kwenyewe sikuhizi wanahip hop wanaimba tap music.
Sasahivi hadi wakina Nas coba wanabadilika
 
uko sahihi mkuu
 
yaani hii nyimbo nimesikia kwa mara ya kwanza nikatingisha kichwa nyimbo ni kali kinyama sijawai ingia internet kupakua nyimbo lakin hii imenilazimu.kusema mbaya ni lazima maana timu timu zipo na kama msiposema mbaya atakazaje sasa kwahiyo wabaya lazima watokee ila JOH MAKIN AMEUWA HII INAPOTEZA NYIMBO YA DARASA .UTAISIKILIZIA TOP TEN PENDA USIPENDE WEUSIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom