Hapana mimi sikubali kama huu wimbo kawaoda bali hii nyimbo mbaya mno kulikowimbo kawaida sana!...utasema umeimbwa miaka 5 nyuma!..waelewa wameshanielewa
Kuna watu ni kawaida yao kupondaeti me nimeupenda
haja produce Nahrel ndio maanaBaada ya kutuhumiwa kwamba anabebwa, sasa kakurupuka na kutuletea ngoma mbovu inayokwenda kwa jina la waya
Kiukweli hii ngoma haitakua na maisha marefu katika game hii yenye ushindani mkubwa yaani labda aendelee kubebwa!
Namshauri ajitafakari na akajipange upya huenda kweli anabebwa!
=============================================
hata mi nadhani hivyo ngoma tamuKuna watu ni kawaida yao kuponda
wewe utakuwa hujui muziki kabisaa STIMU ZIMELIPIWA ndo wimbo uliompatia tuzo Joah makini na ulitengenezwa na Nah real kipindi hayupo bongo halafu unaanzaje kusema Nah real hana hit song kwa Weusi au nikutajie orodha za nyimboSidhani kama unamfahamu Joh Makini Katika nyimbo 3 kali za JohMakini hakuna hata mmoja uliotengenezwa na Nahreeel
hujui muziki wewe bora ukae kimya tuJoah makini ndiyo nani?
Horodhesha hits song zake zote kama 30 hivi alafu mbele ya kila nyimbo andika jina la producer wa nyimbo husika utawajua maproducer wote wanafanya kazi na Joh Makini.
Another hit song kutoka kwa Joh makini the mwamba.
Hizi nyimbo mbili perfect combo na hii zimemshusha vyeo!Mm ni shabiki mkubwa wa Joh
Na sijawahi kuamini kuwa Joh ana anabebwa kabisa yaani....Siku zote namuweka Joh nyuma ya Fid Q.
Sijawahi kumlaumu baada ya ku-change flow kutoka enzi za Mfalme mpaka nusu nusu namuona Joh yule yule mtafutaji.
Sikuielewa perfect combo ila hii sijailewa zaidi....Muunganiko wa Joh Na Luffa sio Muunganiko mzuri Luffa hajawahi kufanya ngoma yoyote ya Hip Hop ikawa kali.
Ni wakati wa Joh kurudi kwa Nahreal au kufanya ngoma tena Na Dunga...Ndio Joh anabadilika kufata soko Na sio kitu kibaya kibiashara ila kwa wimbo huu hapana Joh anatutoa relini.
Again katika track 3 bora za Joh Makini hakuna hata mmoja uliotengenezwa na Nahreel,Inawezekana bado ulikuwa unanyonyawewe utakuwa hujui muziki kabisaa STIMU ZIMELIPIWA ndo wimbo uliompatia tuzo Joah makini na ulitengenezwa na Nah real kipindi hayupo bongo halafu unaanzaje kusema Nah real hana hit song kwa Weusi au nikutajie orodha za nyimbo
haya.hujui muziki wewe bora ukae kimya tu
Again katika track 3 bora za Joh Makini hakuna hata mmoja uliotengenezwa na Nahreel,Inawezekana bado ulikuwa unanyonya
Hao
Ufalme
Karibu Tena
Zamu Yangu
Bye Bye
Popote Chochote
Manuva
Halafu usichangenye track za weusi na Joh Makini,Nahreel amefanya track nyingi za Weusi