Mathias1981
Member
- Jul 10, 2011
- 69
- 19
hii ngoma haiko kiwango kile.cha huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE HUJUI MUZIKI HIVI UNAJUA WIMBO ULIOMPA UMAARUFU JOH MAKINI? NA UMETENGENEZWA NA NANI?Again katika track 3 bora za Joh Makini hakuna hata mmoja uliotengenezwa na Nahreel,Inawezekana bado ulikuwa unanyonya
Hao
Ufalme
Karibu Tena
Zamu Yangu
Bye Bye
Popote Chochote
Manuva
Halafu usichangenye track za weusi na Joh Makini,Nahreel amefanya track nyingi za Weusi
PRODUCERS WALIOKUWA WANAJUA KUMPATIA JOH MAKINIMm ni shabiki mkubwa wa Joh
Na sijawahi kuamini kuwa Joh ana anabebwa kabisa yaani....Siku zote namuweka Joh nyuma ya Fid Q.
Sijawahi kumlaumu baada ya ku-change flow kutoka enzi za Mfalme mpaka nusu nusu namuona Joh yule yule mtafutaji.
Sikuielewa perfect combo ila hii sijailewa zaidi....Muunganiko wa Joh Na Luffa sio Muunganiko mzuri Luffa hajawahi kufanya ngoma yoyote ya Hip Hop ikawa kali.
Ni wakati wa Joh kurudi kwa Nahreal au kufanya ngoma tena Na Dunga...Ndio Joh anabadilika kufata soko Na sio kitu kibaya kibiashara ila kwa wimbo huu hapana Joh anatutoa relini.
Hata davido alijaribu ladha tofauti alivyoona mambo kombo kaamua kurudi alipotokaAcha uchawi were nyimbo mbona nzuri tu na itafanya vizuri, John making amejaribu radha nyingine music tofauti na tulivyomzoea
Ni kitu kizuri
Namfahamu Joh Makini tangu album ya Zamu yangu enzi hizo ulikuwa unanyonya.Wimbo uliompa umaarufu Joh Makini ni HAO wakati unatoka wewe na Nahreel mlikuwa bado mnanyonya.WEWE HUJUI MUZIKI HIVI UNAJUA WIMBO ULIOMPA UMAARUFU JOH MAKINI? NA UMETENGENEZWA NA NANI?
BASI HUJUI MUZIKI BORA UKAE KIMYA,WIMBO ULIOMUWEKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI MPAKA AKAWA GUMZO NI STIMU ZIMELIPIWANamfahamu Joh Makini tangu album ya Zamu yangu enzi hizo ulikuwa unanyonya.Wimbo uliompa umaarufu Joh Makini ni HAO wakati unatoka wewe na Nahreel mlikuwa bado mnanyonya.
Joh hajawahi kutoa nyimbo kali zaidi ya hio.Kuanzia lyrics,flow,beat even video kwa wakati ule ilikuwa poa
Tatizo umemjua Joh Makini hizi enzi za kina Bill NassBASI HUJUI MUZIKI BORA UKAE KIMYA,WIMBO ULIOMUWEKA KWENYE RAMANI YA MUZIKI MPAKA AKAWA GUMZO NI STIMU ZIMELIPIWA
Huyu ndiyo alikuwa the real rapture [emoji41] [emoji41]Namfahamu Joh Makini tangu album ya Zamu yangu enzi hizo ulikuwa unanyonya.Wimbo uliompa umaarufu Joh Makini ni HAO wakati unatoka wewe na Nahreel mlikuwa bado mnanyonya.
Joh hajawahi kutoa nyimbo kali zaidi ya hio.Kuanzia lyrics,flow,beat even video kwa wakati ule ilikuwa poa
Mkuu naona umekoma na weusi kumkimbia nahreal toka jana kwa hiyo ulitaka maisha yote ya mziki wayamalizie kwa nahreal?JOH MAKINI NA WEUSI WAMEMKIMBIA NAH REAL KWAKUWA WALIKUWA WANAPENDA MTEREMKO KULIPA HELA YA STUDIO ILIKUWA NGUMU KWAO LICHA YAKUWA NA MAJINA MAKUBWA SASA LAANA IMEANZA KUWAPATA
Unataka kuniambia wapenzi wa music ni mbumbumbu na mapoyoyo wanalazimishwa kupenda wimbo mbovu? Zama hivi kuna radio na TV chungu nzima? Ukiona kitu kibaya unauwezo wa kubadilisha Chanel?Mkiweka ushabiki pembeni na mapenzi binafsi kwa mwamba was kaskazi, ukajaribu kujivua mapenzi yako kwake na kuangalia ubora wa kazi zake za muziki, wimbo huu no WABARIDI SANA, achana na uandishi na flow anza kujudge bits za wimbo na pitch zake huu ni wimbo MBOVU KABISA kuwahi kufanywa na nguli huyu wa bongo lava/hip hop. Ila kwa kuwa no "mwana wetu" wimbo huu tutawalazimisha muupende tu! tutaupiga sana katika radio yetu pendwa na promo za pale na hapa mpaka mtaupenda tu ingawa kiuhalisia ni wimbo BUTU Umefubaa!...levo ya wimbo huu ulipaswa kutolewa na kina luteni kalama na mwenzie sio kwa watu was levo za Mwamba au Ngosha Ze Don FidQ mwana aliye juu!
1.Stimu ZimelipiwaNamfahamu Joh Makini tangu album ya Zamu yangu enzi hizo ulikuwa unanyonya.Wimbo uliompa umaarufu Joh Makini ni HAO wakati unatoka wewe na Nahreel mlikuwa bado mnanyonya.
Joh hajawahi kutoa nyimbo kali zaidi ya hio.Kuanzia lyrics,flow,beat even video kwa wakati ule ilikuwa poa
Hakuna kitu apo nyimbo mbovu iyo ila kwakua ni Joh makini itapata promo ila honestly...hamna kitu
Jifunze kutofautisha facts na maoniNi haki yako kikatiba kutoa maoni.