Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
760
Reaction score
1,875
Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka 2022 Dell ya kulia


 
Mwaka na waya sio tatizo kubwa unaweza kununua monitor leo ambayo ni ovyo kuliko hizo mbili.

Inabidi uangalie spec na technology za hizo monitor.

Kwa vile dp na hdmi zote zinadeliver digital signal ile ile hakutakuwa na tofauti kama settings ni zile zile, kujihakikishia hilo tumia monitor moja yenye ports za dp na hdmi kama utaona tofauti yoyote.
 
Tumia zote kwenye kioo kimoja kimoja utupe majibu
 
Picha ya pili mpaka ya Tano ni display moja hiyo Dell ya kulia ikiwa katika HDMI na DP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…