Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Polisi waanza kuwatembelea VyaPombe;
Staff Sagenti wa Polisi ( S/SGT) Sabas ambaye ni Polisi kata wa Kata ya Nawenge Tarafa ya Vigoi Wilaya Ulanga alipotembelea vilabu vya pombe za kienyeji ambapo amewasisitiza wanywaji wa pombe hizo kunywa kwa kiasi na kuzingatia afya zao kwani wao ni nguvu kazi ya Taifa.

.