Wayahudi 5 wakamatwa baada ya kutemea Wakristo mate huko Israel

Halafu Bado Kuna mazombie yakisali yanasema Kwa jina la Mungu wa Israel,kudadeki
 
Hakuna Myahudi Mkristo.
Wayahudi awaamini katika Yesu Wala hayupo kwenye vitabu Yao hawatumii Biblia wanatumia kitabu Chao kinaitwa torah
 
Huwa Nashangaa sana wasabato kuwa na mafundisho potofu eti dini zote zitaunganishwa iwe dini moja na kulazimishwa kusali jumapili na kiongozi wa dini hio atakuwa papa.
Huu ni upotoshi mkubwa kabisa na kutoyajua maandiko.
Papa ni kiongozi wa kanisa na Sio mkuu wa Dunia Wala sio mnyama.Papa mwenyewe yupo chini ya mnyama akienda kinyume na mnyama anauwawa.
Myahudi Mkristo Muislam huwezi ukawaweka pamoja kiimani kwa sababu mifumo Yao ya kiimani haiendani Sasa utawaunganishaje.
Huyu anasema Yesu ni Mungu,yule ni mtume,huku Myahudi anaona Mkristo anakufuru kumuita Yesu Mungu anatamani amponde hata na mawe.
Wayahudi hawaamini injili isipokuwa waislam na Wakristo.
Utawaunganisha vipi Hawa watatu wangali wote ni maadui.
Dini moja haimaanishi haya madhehebu yote kuunganishwa.
 
Hakuna linaloshindikana chini ya Jua ofisaa... Hata karne ya YESU ukiwaambia kuwa sasa hivi mtu wa Marekani na Waafrika wanazungumza kama wanaonana ana kwa ana, huyo mtu atakataa... Ukiwaambia saaa hivi gari zinajiendesha watakataa

Hivyo kwa karne yetu uenda ikashidikana ila karne zijazo ikiwezekana... Maana dini ni imani tu, na imani inaweza kubadilishwa
 
Bora wanaotema mate kuliko wanaochinja wakristo waolibadili dini kutoka uislamu au kuchinja tu waumini tofauti na wao, kina Isis na Al Qaeda hao.
 
Wakristo kila siku wanapigwa makofi huyo Jerusalem lakini hawakomi 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…