Wayahudi mara nyingi hawawezi kukuacha adui yao ukaingia kaburini kwa amani. Lazima wakuue. Hiyo ni Kanuni ya Mfalme Daudi

Wayahudi mara nyingi hawawezi kukuacha adui yao ukaingia kaburini kwa amani. Lazima wakuue. Hiyo ni Kanuni ya Mfalme Daudi

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
WAYAHUDI MARA NYINGI HAWAWEZI KUKUACHA ADUI YAO UKAINGIA KABURINI KWA AMANI. LAZIMA WAKUUE. HIYO NI KANUNI YA MFALME DAUDI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

1. Moja ya Kanuni za Wayahudi walizorithi kwa wazee wao. Ni auae kwa upanga sharti afe kwa upanga. Jino kwa jino ni kanuni ya kiyahudi.

2. Wayahudi ukishaingia nao kwenye mgogoro. Katika kiwango na ahadi ya kuuana. Kukuacha ufe kifo salama. Kifo cha asili. Yaani kuzeeka au kuumwa kawaida kisha ukafa kwao wanahesabu kama umeshinda. Nao wameshindwa.

3. Mfalme Daudi wakati anamuachia mwanaye Suleiman ufalme moja ya majukumu makuu aliyompa ni kuhakikisha Yoabu haiingii kaburini kwa Amani. Hivyo Suleiman afanye atakavyofanya ahakikishe Jemadari Yoabu anauawa. Na anakufa kifo cha kikatili, fedheha na unyamam

4. Kumuua mtu ni kumfanyia ukatili, kumfanyia unyama, kumfedhehesha, kumshushia hadhi ya kibinadamu na kumpa hadhi ya wanyama. Kumtoa Utu wake.

5. Kifo ni heshima kama kitakuja Kwa asili. Kitakuja bila mipango ya Watu.

6. Kwa zamani Kuuawa na Adui ni laana. Ni kudhalilishwa. Kupoteza heshima.

7. Ndio maana, wafalme na wakuu wengi wa majeshi walikuwa wakiona wamedhibitiwa kwa kiwango cha kukamatwa waliamua kujimaliza wao wenyewe.

8. Mfalme Sauli kwenye Biblia aliona kuliko akamatwe na auawe na adui zake ambao hawajatahiriwa. Najisi. Ni bora auawe na Mtumishi, mlinzi wake. Akamuomba Mlinzi wake amuue. Na ikawa hivyo.

9. Kwa hapa Tanzania, yupo Chifu Mkwawa ambaye alipoona vita imemuelemea na sio muda angekamatwa. Akaona kuliko niwape maujiko Wajerumani, Adui zangu. Ikaonekana wameniua wao. Bora nijitundike mwenyewe.
Mkwawa alijiua.

10. Wayahudi ni moja ya jamii yenye kisasi kibaya kisichoisha. Na wakati mwingine kisasi hicho huweza kukihamishia mpaka kwa watoto.

11. Myahudi ukimtangazia kumuua kwake hilo tangazo atalichukulia serious kuliko hata wewe mwenye huo mpango.

12. Wayahudi hawanaga msamiati msamaha. Kila kosa linamalipo. Kila Jambo linamatokeo. Wao huongozwa na kanuni hiyo.

13. Kina Ayatollah Khomenei na wenzake ni mfano wa kile ambacho kinadhihirisha kanuni na tabia za mayahudi.

14. Hata ipite miaka mingapi. Myahudi ukishaingia kwenye bifu naye. Usijisahaulishe. Kwa sababu wao hawaamini kwenye kusahau.

15. Viongozi wengi wa Iran watapata tabu Sana. Na uhakika ni kwamba Iran lazima idondoshwe kwa namna yoyote Ile.
Ingekuwa ni Marekani pekeake tungesema Iran anaweza akawa na chance ndogo ya ushindi. Lakini Wayahudi wao wakivalia njuga jambo lao mpaka Liwe.

16. Waajemi walikuwa na tabia za Kiyahudi kwani ni jamii zilezile. Lakini Uislam ndio unawapa changamoto

17. Falsafa za Kiislam ukiziendekeza zinakufanya usitumie akili katika kiwango cha mwisho.
Huwezi mtegemea Allah kwenye mambo ya kibinadamu.

18. Wayahudi walishakataa kuongozwa na Mungu wao (Yahweh) kwamba Yahweh na Imani sio kitovu cha Maisha na maamuzi yao. Wao wanatumia zaidi Akili na kuamini katika uwezo wa binadamu.

19. Ingawaje tayari foundation na menu ya kutumia ulimwengu wanayo. Kwamba ukishakuwa na ramani na menu ya dunia huna haja ya kuongozwa na Mungu. Ndicho wayahudi wanacho.

20. Iran itashindwa kwa sababu inatumia mfumo na falsafa ya kina Kinjektile Ngwale kupambana na Wayahudi.

21. Kufa Shahidi, kufa kwa kumpigania Allah au uislam ni hadithi za kizamani Sana ambazo hazifanyi kazi katika ulimwengu wa sasa. Ni kama wale wa Majimajimaji.

22. Ingawaje lengo lao ni kuwatia Morali ya uongo wanajeshi na watu wajinga wawe na msukumo ambao mzizi wake uongo.

23. Allah hawezi kufanya intelligence kwa Adui wa Iran na hapohapo hawezi kuwalinda viongozi wa Iran. So hakuna sababu ya kumtegemea. Kama kwa Yahweh hana uwezo wa kufanya intelligence na kuwalinda waisrael na marekani ndio maana Marekani na mayahudi hawamtegemei na nadra Sana kumtaja kwa sababu hana impact kubwa.

24. Mwisho wa yote Ukweli utakuwa wazi kabisa.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
15. Viongozi wengi wa Iran watapata tabu Sana. Na uhakika ni kwamba Iran lazima idondoshwe kwa namna yoyote Ile.
Ingekuwa ni Marekani pekeake tungesema Iran anaweza akawa na chance ndogo ya ushindi. Lakini Wayahudi wao wakivalia njuga jambo lao mpaka Liwe.
Hii taarifa inabidi ugawe copy/nakala kwa hawa watu hapa

kimsboy
Ritz
Malaria 2
MALCOM LUMUMBA ingizo jipya
Bila kumsahau himself ambae yupo behind Iran
President of China

Haya tuendelee
 
Ila hijja hua unaenda Israel au hujawahi kwenda?
Huko mji mtakatifu wa Yerusalemu, hapana sijawahi kwenda. Dunia haina mji mtakatifu, hizi ni fix za jamaa zetu ili kutengeneza utalii na kupiga pesa ndefu. Ni ujinga fulani binadamu tumelishwa. Vatican, Mecca na Jerusalem ni miji kama Dodoma, Lilongwe na Lusaka tu.
 
Huko mji mtakatifu wa Yerusalemu, hapana sijawahi kwenda. Dunia haina mji mtakatifu, hizi ni fix za jamaa zetu ili kutengeneza utalii na kupiga pesa ndefu. Ni ujinga fulani binadamu tumelishwa. Vatican, Mecca na Jerusalem ni miji kama Dodoma, Lilongwe na Lusaka tu.
Kwa hio wewe hutaki kuamini kile kilochoandikwa kwenye Baibo?
 
Mkuu,
Imani na dini havihitaji logic. Tukianza kutumia logic wengine watasema tumerukwa akili😂😂
Kwa hio sasa tunafanyaje mkuu? maana ndio ipo hivyo Yohana 2:13 endelea mpaka 25, Yesu mwenyewe aliwahi kuwatembezea Wayahudi kichapo Hekaluni anzia hapo Yohana 2:15 hadi 21 sasa kilichofuata unakijua
 
Wakristo tunashoboka sana na hawa jamaa, ukweli ninkuw hata hawatupendi!(nje ya mada)
BORA KUCHUKIWA, KUULIWA, KUTEMEWA MATE, KUDHARAULIWA, KUBAGULIWA, KUTENGWA, KUDHALILISHWA, KUTUKANWA KUNYANYASWA NA WAYAHUDI WATEULE WATU WA MUNGU WA KWELI KWANI NI BARAKA.

KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI NI LAANA.

adriz de mbusii
 
Umenikumbusha wosia wa DAUDI ,kabla hajafa alivyokuwa anampa Suleiman,kuhusu maadui zake
 
Back
Top Bottom