ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Thread bila picha hainogi
We ni mbantu tokea africa west na kati kidogo sisi wanyaturu ndo tunakuja kuja kama israeli wa ethiopiaWaisrael wapo bongo kibao tu,wanajulikana kwa makabika mengine hata Mimi ukinicheki kwa kutulia kama nakuja kuja hivi!!!
Anha ok nimekuelewaHawawezi kuwa Og,wao ni wajukuu wa Sheba na Suleiman hivyo bibi yao aliwafundisha dini aliyojifunza kwa babu yao
Jozeee JF person of the year 2017 is back.Thread bila picha hainogi
Naskia wewe na Mahondaw ni wayahudi. Hongera zenu asee.