Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jul 4, 2012 #21 Nyani Ngabu said: Wengine kitendo tu cha kumuua mnyama ili umle wanakiona ni kitendo cha kikatili. Click to expand... kwa hiyo tuwale wazima wazima? Au tule nyamafu? Au tuwe vegans? if so, hata matunda na mboga tusichume tusubiri yale yanayo jiangukia naturally
Nyani Ngabu said: Wengine kitendo tu cha kumuua mnyama ili umle wanakiona ni kitendo cha kikatili. Click to expand... kwa hiyo tuwale wazima wazima? Au tule nyamafu? Au tuwe vegans? if so, hata matunda na mboga tusichume tusubiri yale yanayo jiangukia naturally
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,539 Jul 4, 2012 #22 Mwali said: kwa hiyo tuwale wazima wazima? Au tule nyamafu? Au tuwe vegans? if so, hata matunda na mboga tusichume tusubiri yale yanayo jiangukia naturally Click to expand... Hata kumbikumbi tusubiri wajifie wenyewe!!!!
Mwali said: kwa hiyo tuwale wazima wazima? Au tule nyamafu? Au tuwe vegans? if so, hata matunda na mboga tusichume tusubiri yale yanayo jiangukia naturally Click to expand... Hata kumbikumbi tusubiri wajifie wenyewe!!!!