Wayajua haya ya washiriki wa BBA toka TZ?

Wayajua haya ya washiriki wa BBA toka TZ?

Joined
Nov 11, 2008
Posts
782
Reaction score
40
Baada ya dada yetu Elizabeth kuchomolewa mjengoni nimeweka nukta na kwafikiria hawa washiriki wa TZ, nimegundua hawa washiiriki wote wana HARUFU YA KIZUNGU ZUNGU.
  1. Mwisho nadhani mmoja wa wazazi wake ni mzungu
  2. Richard - KAOA MZUNGU.
  3. Latoya - KAZAA NA MZUNGU
  4. Elizabeth - ANA BOYFRIEND WA KIZUNGU.
Lakini aliyetia fola ni Elizabeth aliyevuka mpaka na kuonyesha kila aina ya UBAGUZI kwa wa bongo? maana niliwahi kumsikia akijiita STAR na kuwa yeye ni muigiozaji maarufu wa MOVIE hapa BONGO. Zaidi alinitoa jasho kuwa wanaume wengi wanaompenda humuonga MAGARI, nahisi atakuwa na YARD yake huyu mtoto.

Hawa WAZUNGU wenu wenye frustration za ndoa na waliodivorce wakapna nyie ndio VIBURUDISHO VYAO watatuletea mabalaaaaa.

Hivi ni kwanini asingeongelea constructive story kuhusu nchi yake? yako mengi tu ukichukulia aliwahi kuwania UMISS LUNDENGA? kama utalii mbona Richard aliinadi sana Zanzibar mpaka Tatiana na Big Brother wakaja kutembea? na hata washiriki wengine waliitamani sana, yeye anaishia tu kutoa stori za Liyumba na jinsi alnavyoongwa magari these are too common kwa nchi zote na HAZILETI SIFA YOYOTE NZURI KWA nchi, yeye alienda kutubomoa au kujenga? mare eeeh kizazi cha zamani cha watanzania hawajui ENGLISH may be KIZAZI KIPYA ndio wanaweza kuongea LUGHA hiyo, wapi bwana weweeee, mchokoze mkapa uone kiingereza chake, wewe mwenyewe utabrooooo
 
Elizabeth ni binti mrembo na anaonekana kuwa na akili hasa akitulia, lakini kama ulimfuatilia vizuri, nadhani ana matatizo ya kisaikolojia; anakasirika upesi, ana mood swings, macho yake yanasema mengi sana kama ukimuangalia hasa jinsi anavyokazia kitu au mtu

She is having alot in her chest na labda ndicho kinachomplekea huko aliko... In many cases, hao wafuata wazungu wanakuwa wanafuata mkumbo, au mazingira yaliyowazunguka au hata kuna kitu wanakosa. Ni kama vijana wetu wafuatao wazungu, vibibi nk

Mimi nadhani tumsaidie huyu binti halafu tutaona improvement... BUt i am glad she is out kwasababu ilibaki kidogo tu aharibu kabisa, elasticity ilifika mwisho na fusi zilikuwa zinaachia
 
Latoya hajazaa na mzungu. Anyway acha ubaguzi
 
Latoya hajazaa na mzungu. Anyway acha ubaguzi

mimi alinikera alipo jitangazia kuwa katika maisha yake hajawahi kugawa ile kitu kwa mwafrika.

yaani alikera mpaka basi huku akitegemea kuwa hao wafrika ndo wampigie kura ya kuchukua mihela.

Kweli anastahili kusaidiwa
 
Na mimi sijawahi kuwa na demu muhindi, mchina, mwarabu, mzungu, wala yeyote ila waafrika tu..kasirikeni sasa niiteni mimi mbaguzi ebo!!!!
 
Elizabeth ni binti mrembo na anaonekana kuwa na akili hasa akitulia, lakini kama ulimfuatilia vizuri, nadhani ana matatizo ya kisaikolojia; anakasirika upesi, ana mood swings, macho yake yanasema mengi sana kama ukimuangalia hasa jinsi anavyokazia kitu au mtu

She is having alot in her chest na labda ndicho kinachomplekea huko aliko... In many cases, hao wafuata wazungu wanakuwa wanafuata mkumbo, au mazingira yaliyowazunguka au hata kuna kitu wanakosa. Ni kama vijana wetu wafuatao wazungu, vibibi nk

Mimi nadhani tumsaidie huyu binti halafu tutaona improvement... BUt i am glad she is out kwasababu ilibaki kidogo tu aharibu kabisa, elasticity ilifika mwisho na fusi zilikuwa zinaachia

Elizabeth ni corkteaser
 
Na mimi sijawahi kuwa na demu muhindi, mchina, mwarabu, mzungu, wala yeyote ila waafrika tu..kasirikeni sasa niiteni mimi mbaguzi ebo!!!!
Ahahahahaha..... we mbaguzi, ila hatukasiriki mkuu!
 
eti Elizabeth anadai "sikufanya Ngono BBA kwa heshima ya watanzania wenzangu " heheheh hahaha haya mama asante sana

lakini nenda kachekiwa na wataalama wa saikolojia kama uko sawasawa mpenzi
nadhani kuna kitu kinakusumbua
 
Mnataka kujipa kazi isiyowezekana labda kuchangamsha baraza mumrekebishe mama mzima huyo mtaweza. Bora mjitolee kusafisha barabara mara moja kwa wiki kama Bujumbura.

Binadamu sio sawa na kamwe hawawezi kuwa sawa, utofauti kati ya mtu na mtu ndio unaofanya maisha yanoge.
 
eti elizabeth anadai "sikufanya ngono bba kwa heshima ya watanzania wenzangu "heheheh hahaha haya mama asante sana

lakini nenda kachekiwa na wataalama wa saikolojia kama uko sawasawa mpenzi
nadhani kuna kitu kinakusumbua

kumbe supofanya ngono unakuwa unaweka heshima kwa watanzania?

Na je aliposema kuwa hajawahi kufanya ngono na mtu mweusi siyo tusi kwa watanzania?

Alikuwa anamuenzi nani hao wanzungu wanaomhonga starlet na rav4.

Majitu mengine bwana inaweza kuwa laani ya kulelewa na mzazi mmoja tu si kitu kingine
 
Bhayanda,

Jamani tatizo la sisi vijana wa kibongo ni wachachu wa fikla esp hawa dada zetu M'mtaja mmoja hapo juu ati huwa anahongwa sana magari Zero brain kweli huyu yani haeleweki kabisa na ndio maaana mtu mmoja kachangia kase kifuani kwake kabeba mambo mazito sana chunguzeni wajomba mta mbaini siku si karudi Bongo mtaona matokeo hatuna creativity yoyote zaidi ya ukipata ni kula bata msemo wa vijana.

Na huyo anaesema ati hajawai kudo na mwafrika eeebooooo anataka kutuambia yule alimvunja ***** wakupepetea mchele nani, kwa macho yangu nilimwona na rafiki yangu wa karibu sana kule Arusha leo anataka kutambia nini hapa.

Vijana tusipende ku-exaggrate mambo pale tuwapo nje ya nchi au ndani ya nchi fanya kile uwezacho na kwa uwezo wako let other people wakusifie jamani.
 
kumbe supofanya ngono unakuwa unaweka heshima kwa watanzania?

Na je aliposema kuwa hajawahi kufanya ngono na mtu mweusi siyo tusi kwa watanzania?

Alikuwa anamuenzi nani hao wanzungu wanaomhonga starlet na rav4.

Majitu mengine bwana inaweza kuwa laani ya kulelewa na mzazi mmoja tu si kitu kingine

Umenichekesha sana chaku mbona umeandika kwa hasira sana mapema yote hii nani amekuuzi ?
 
Elizabeth namsubiri aje afanye interview kwenye redio nipige simu nimuulize swali, kuhusu yeye kumegwa na blacks, na nini kilimfanya wakamtimua Jehovas Witness Moshi? by the way ni jajirani yangu.....
 
Back
Top Bottom