Omuregi Wasu
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 749
- 149
Mimi yoyote anayekuja namega ilimradi msafi tu kimwili, anayejua kuoga
Elizabeth namsubiri aje afanye interview kwenye redio nipige simu nimuulize swali, kuhusu yeye kumegwa na blacks, na nini kilimfanya wakamtimua Jehovas Witness Moshi? by the way ni jajirani yangu.....
Aisee! Kumbeeeeeeeemimi alinikera alipo jitangazia kuwa katika maisha yake hajawahi kugawa ile kitu kwa mwafrika.
yaani alikera mpaka basi huku akitegemea kuwa hao wafrika ndo wampigie kura ya kuchukua mihela.
Kweli anastahili kusaidiwa
Elizabeth namsubiri aje afanye interview kwenye redio nipige simu nimuulize swali, kuhusu yeye kumegwa na blacks, na nini kilimfanya wakamtimua Jehovas Witness Moshi? by the way ni jajirani yangu.....
mkuu ndo maana wengi wametoa wazo la yeye kufanyia cancelling na inawezekana ndo hicho alichokificha ambacho kinamkosesha raha maisha yake yote.
Kuna siku alitaka kumwambia Kevin akaishia kulia tu.Na kama alikuwa mlokole hiyo itakuwa laani ya maombezi ya waumini wenzie hivyo inabidi akatubu na kwa mtazamo huo tutajua mengi saana juu ya huyu dada anayependa wazungu na anayependa kuhongwa.
Unajua mkuu kuna vitu unaweza kuongea kwenye public ila si kila kitu.
haya maneno yakusema kuwa hajawahi kumegwa na mtu mweusi na hili la kusema kuwa kila anayemtongoza anamhonga gari kweli alikosea sana na litamcost.
na ni bora huyo mzungu angempeleka shule kuondokana na kukaa analilia kwa mfano kama mkuu unakumbuka siku ile ya kwanza alivyoaanza kujielezea maisha yake jinsi wazazi wake walivyokuwa hawana kitu cha kumpeleka shule kweli ni mtu leo hii na anajua kwao temeke wanamwona anajidai eti yeye ni wakuhongwa gari na wenzie wa temeke hajatembea nao ila huyo mzungu aliyeachika kwao na anayeishi kwa work permi na kama siyo residential permit aliyo pewa na uhamiaji?
Mi nilisema jana kwenye ile thread ya BBA, kwamba Elizabeth ni bonge la kimeo!! Hachagui aongee nini na wapi??? Mi alikuwa ananichefua sana sio siri.
Wakati umefika kwa wanaofanya usaili Tanzania kuangalia pia IQ ya mtu. Kuna siku alinichekesha huyu dada yenu kwa kuwaadithia washiriki wenzake story za Liyumba ambazo hazijathibitishwa huku akijua kuwa Tanzania inamuangalia. Siku nyingine akasema eti akipata hizo USD 200k kwa tanzania atakuwa among 5 richest people in the country!!
Nikasema kweli Tz tumepeleka kihiyo BBA4!!
Shame on her!
ha ha ha kama ni kweli hi balaa hana alijualo!Mi nilisema jana kwenye ile thread ya BBA, kwamba Elizabeth ni bonge la kimeo!! Hachagui aongee nini na wapi??? Mi alikuwa ananichefua sana sio siri.
Wakati umefika kwa wanaofanya usaili Tanzania kuangalia pia IQ ya mtu. Kuna siku alinichekesha huyu dada yenu kwa kuwaadithia washiriki wenzake story za Liyumba ambazo hazijathibitishwa huku akijua kuwa Tanzania inamuangalia. Siku nyingine akasema eti akipata hizo USD 200k kwa tanzania atakuwa among 5 richest people in the country!!
Nikasema kweli Tz tumepeleka kihiyo BBA4!!
Shame on her!
Chaku maneno yako mkuki moyoni eeh
mpwa niteremshie hiyo stori kwa PM, nimepangwa pia kumfanyia intavyuu ni msaplaizi ni stori ya jehova witinesi.
Haya maneno ya kashfa kwa huyo mrembo yanatolewa kwa kuwa ametolewa nje? Hivi angeishi mle ndani na hatimaye kuondoka na dola laki mbili, si hawahawa wangemuona ni shujaa?
mambo mengi tunayoyasikia mle ndani ni story tu za kupitisha siku, mengi yao hayana ukweli wowote. Binadamu unaweza ukaongea sense kama uko katika maisha ya kawaida ukiendelea kupambana na mazingira yako. Ukiwa mle ndani ni kuongea historia tu!

Ni kweli ukisemacho kuwa kwenye ule mchezo most of the talkings ni story.Lakini kama mkuu ulikuwa ukifuatalia sana maongezi yake hakuwa akimanisha story kama wenzie alikuwa akiongea yaliyopo kweli akilini.
utatambuaje kama akiangoeacho ni story au siyo kule kulialia anavyokuwa amebanwa kuelezea zaidi mtu unashindwa kuwa strong.
Pli ukiwa kwenye public kuna mambo ambayo unaweza kuyaongea kama story na mengine yakawa yanakuaibisha wewe mwenyewe,sasa kwa maneno yale unafiriki hakujiabisha yeye na familia yake yote?
Unajua mtu akifanya kosa mkanye ukimsifie kwa kuwa utakuwa humsaidie kwa hiyo napingana na wewe kuwa haya yote yametoka kwa kuwa ametoka wala siyo kweli.
Kama wewe ni member wa mnet.com kaangali comment za waafrica wenzako juu ya matamshi yake it was real embarassing.
unajua nilipokuwa namwangalia huyu dada nilidhani ana matatizo flani, na ukishamwona tu unajua hakajiamian, ana social phobia pia agora phobia.
ngoja akirud sisi tupo, hivi kwanza kanarudi lini ili mipango kabange ya kumpiga mtungo ianze mara moja, eti halambwa na mweusi!!!