Wayajua makali ya harufu yako?

Wayajua makali ya harufu yako?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Mara chache sana huwa tunathamini nafasi ya harufu zetu katika kujenga au kubomoa mahusiano kati yetu na wale tuwapendao.......Misemo ifuatayo midomoni mwetu katika jamii yaonyesha harafu ina sauti kubwa katika mahusiano.......

a) Jamani ananuka kikwapa...............................sijui itakuwaje...........................

b) Yaani hii harufu ni katoka kufanywa sijui.....................hivi kwanini kabla ya kutoka kwake hakuiosha basi?

c) Nilivyosikia harufu ya soksi zake zinavyonuka hamu yangu naye ilififia.......................

d) marashi anayojipaka angelijua yanavyonitibua......................

e) Hivi ni lini aliingia bafuni na akajisugua hadi akatakata? natamani nichukue dodoti au hata jiwe nikamsugue mwenyewe hadi ang'are........

f)Jaziliza.......................

Kwa kifupi tu ni kuwa pamoja na vimbwanga vingevyo katika kuimarisha mahusiano................harufu zetu nazo huongea na kutoa picha ya mbali ya wewe ni mtu wa namna gani...................kama ni mchafu harufu itatoa mwanga..............na vivyo hivyo kama ni msafi na unajipenda.........................ni rahisi sana kupendwa na kupendeka kama mwenyewe kwanza unajipenda..........mtarajiwa wako akiipenda harufu yako basi masharti mara nyingi hulegezwa kwako.......................chunga harufu yako iwe murua......
 
Yote tisa,mi dem akinuka kikwapa anikata stimu kabisaa! Bora mdomo!

hujakutana na harufu kali ya mdomoni......................nyinginezo utafikiri panya kaozea mdomoni............
 
Back
Top Bottom