Wayajua makali ya harufu yako?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Upo uhusiano wa moja kwa moja kati ya harufu zetu na mahusiano na wengineo hususani wapenzi wetu. na ndiyo maana misemo ifuatayo hujitokeza kwenye jamii kuhusiana na harufu zetu:-

a) Jamani lakini ananuka kikwapa....................siyo kwamba hajamkubali lakini aona kuna changamoto hapo....................
b) harufu ya soksi zimenitoa knock out...............hatutaweza kuelewana kabisa...................ingawaje mambo mengine aonekana wamo........
c) marashi yake wajamani yananitia kichefuchefu....................
d) Hivi ni lini mara ya mwisho aliingia bafuni na kujisugua hadi akatakata.................ladba yabidi kwanza nimnunulie dodoti au hata jiwe halafu mwenyewe nifanye kazi ya kumsugua....................
e) Yaani hii harufu ni kama vile katoka kufanywa/ fanya................kwanini kabla hajatoka kwake hata hakuiosha...... chungeni harufu zetu na mwenzio akiikubali uwezekano wa kukulegezea masharti ni mkubwa.........
 
kupenda hakuna sababu.

jifariji lakini ukweli ni kuwa you are what you smell to others and to yourself........................hata vyakula na vinyaji unavyokunywa harufu yako huielezea jamii...........
 


Hili lina ukweli kwa kiasi fulani, coz enzi zile bado nawapanga kwa foleni likuwa napata harufu tofauti toka kwa ma sista duu...., ukiwa nae huyu kwa mwezi huu, utakuta hata na ww harufu yako ya jasho na ya mwili inabadilika kabisa, na kuwa nyingine yenye mchanganyiko wa wako na wa kwake...., na ukimpata mwingine , hali inakuwa vivo hivyo.... ndo maaana zinaa ni haramu na haifai na ni uchafu mbaya sana...!

Nawasilisha..!
 
kweli tupu mkuu. wanaobisha huenda walikumbana na hiyo maneno na ikawafanya wawakose waliowapenda
 
Hi ina ukweli kabisa,kuna utafiti wa kisaikologia uliwahi kufanyika chuo kimoja marekani(nimesahau jina) kuhusu uhusiano wa harufu ya mtu na kupenda. Wanaume 6 walioga,wakavalisha tishet nyeupe na saiz sawa. Wakafanyishwa mazoez in a closed rum na mwisho wakavuliwa zile tishet zikapelekwa kwa wasichana ambao waliambiwa wachague ni harufu ya tisheti ipi inamvutia. Most waliishia kwenye tisheti mbili kuwa ndo za watu ambao wanaweza kuvutiwa nao kuwa kwenye uhusiano. Hi lakini inafanya kazi mtoni zaidi. Huku kwetu ni pesa na ujanja wako tu.
 
Mwenyekupenda haoni,pengo atasema mwanya.
Chongo atasema kengeza.
 
uko sawa sana mtoa mada, mwanaume mwingine sijui anakuwa anajipaka nini
yani sielewi wakati anajipaka anaipenda ile harufu au anajipaka ili akuvutie kumbe jamani ndo anaharibu kabisa coz harufu yake ni nouma .. ila ndo hivyo kama unampenda utasema ne kuhusu harufu yake
ukutane nakitu kinavuta NYOTa thena kikanyeshewa na mvua lol
beberu kaingia ndani huh
 
Wabongo wengi wamejiwekea utaratibi wa kunuka vikwapa yani iwe kwenue daladala ,foleni benki nk utashangaa asubuhi asubuhi mtu anatoa harufu yaani karaha tupu.wabongo tujenge tabia ya kuoga,kufua na kupiga mswaki maana haya mambo kumpa mtu live inakuwa ngumu.
 

harufu zetu na mabalozi wetu..........kwa mazuri hata mabaya.......................lol
 

Shall umenikumbusha mengi hasa haya ya beberu............
 

kuna baadhi ya wanaume wengine hudhani kunuka kikwapa ndiyo chambo cha kupata mademu........................lol
 
Mwenyekupenda haoni,pengo atasema mwanya.
Chongo atasema kengeza.

ni kweli tupu lakini hata huyo angelipenda uwe naharafu ambayo yeye anaipenda............harafu ya ubeberu sidhani nayo itamvuta..........
 

Tubarikiwe sote.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…