Wayajua makali ya harufu yako?

Wayajua makali ya harufu yako?

hapa ukiongezea na harufu mbaya ya kinywa lazima mpotezane tu...!!

lakini kama amekugusa vilivyo mnunulie Listerine ni kiboko ya harafu ya mdomoni na bei yake haizidi 6,000/= na atasukutua mwezi mzima na hata 2...........................strategic dipping.........or mouth-rinsing........
 
Aah! harufu nyengine mbaya mpaka unataka kuzimia....

na harufu nzuri yakufanyaje? Mbaya yakufanya ujisikie kuzimia na nzuri....................nilifikiri nzuri ndiyo ikufanye umzimie mwenye nacho.........
 
Back
Top Bottom