Sodoku Myebusi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,319 Reaction score 3,004 Tuesday at 9:46 AM #1 Hiyo ndo sifa ya Wayebusi. Ni sababu ya kula vizuri na kushiriki mazoezi. Afya njema na wakati wote kujitunza huku tukikabidhi kila kitu kwa sir God. Uyebusi ni Imani, ni Utamaduni, Ni Maisha ni Uchumi.
Hiyo ndo sifa ya Wayebusi. Ni sababu ya kula vizuri na kushiriki mazoezi. Afya njema na wakati wote kujitunza huku tukikabidhi kila kitu kwa sir God. Uyebusi ni Imani, ni Utamaduni, Ni Maisha ni Uchumi.
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Tuesday at 9:47 AM #2 Duuuuuuh ukiwa wapi Buza Mnarani?