Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

Hawa Houthi wana historia ya kulipua mabomu Saudi Arabia na hiyo ni mojawapo wa sababu kuu inafanya iwe vigumu kuwapiga.
Ifahamike Marekani huilinda sana Saudi, isingekua kwa Marekani pale Saudi pangekua majivu, sijui hata wafuasi wa ile dini wangekua wanaenda wapi kupiga shetani mawe.

Hapa video ya mojawapo wa matukio ya wao kulipua Saudi Arabia
Wasaudi wana tofauti gani na mazayuni? Naona huelewi kuwa siasa na lengo lao ni moja, wamejitanuwa ktokea Kuwait huko mpaka wameshaichukuwa Najd na Hejaz yote na robo ya yemen na bado wasaudi waiwania yemen yote, Iraq, Syria na Jordan ziwe zao wagawane na mazayuni ili "dark world", dunia ya kiza iishike vizuri dunia.

Wewe unafurahia dunia iongozwe na watu wa kiza kama kina papa.

Juzi Wayemeni wameshasema, njia walizofunguwa Saudi Arabia za mazayuni kupitisha kwa magari mizigo yao, nazo zote ni target ya Wayemeni.
 
Wasaudi si ndio alikotoka yule mungu wako na ndipo huwa mnakwenda kupiga shetani mawe......hehehe bahati yenu Marekani amepalinda ila mngekua mumepalipua ndio ujue hamuna akili, kazi kujilupia lipua.
 
Wasaudi si ndio alikotoka yule mungu wako na ndipo huwa mnakwenda kupiga shetani mawe......hehehe bahati yenu Marekani amepalinda ila mngekua mumepalipua ndio ujue hamuna akili, kazi kujilupia lipua.
50_16.gif

Qur'an 50:16. Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake. 16
 
50_16.gif

Qur'an 50:16. Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake. 16

Unaniletea vitu vimeandikwa na huyo huyo muarabu unayemuabudu, halafu alivyokua na vituko vichafu...
 
Rasmi, wababe wa Bahari Nyekundu (Red Sea) ni Wayemeni:

Maersk Hangzhou, meli ya kontena, imeshambuliwa na kombora la Houthi katika Bahari ya Shamu. Baada ya hapo, meli ya kivita ya Marekani, USS Gravely, ilidungua makombora mawili zaidi ya masafa marefu wakati ikijibu wito wa dhiki pamoja na USS Laboon, jeshi lilisema. Makombora hayo yalirushwa kutoka sehemu ya Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran, kwa mujibu wa kituo cha Central Command cha Marekani. Meli hiyo iliyokuwa na bendera ya Singapore, inayomilikiwa na Denmark ilikuwa ikisafiri kutoka Singapore kuelekea bandari ya Misri. Hili ni shambulio la kwanza la mafanikio tangu kuanzishwa kwa doria zinazoongozwa na Marekani katika Bahari ya Shamu. #houthi #ship #attack #redsea #yemen #yemen #israel #denmark #denmark #unitedstates #missiles #missiles #missilestrikes #houthis #houthis
 
Back
Top Bottom