Wayemeni wamekinukisha tena Red Sea, wameishambulia manowari ya kivita ya USA

Wasaudi wana tofauti gani na mazayuni? Naona huelewi kuwa siasa na lengo lao ni moja, wamejitanuwa ktokea Kuwait huko mpaka wameshaichukuwa Najd na Hejaz yote na robo ya yemen na bado wasaudi waiwania yemen yote, Iraq, Syria na Jordan ziwe zao wagawane na mazayuni ili "dark world", dunia ya kiza iishike vizuri dunia.

Wewe unafurahia dunia iongozwe na watu wa kiza kama kina papa.

Juzi Wayemeni wameshasema, njia walizofunguwa Saudi Arabia za mazayuni kupitisha kwa magari mizigo yao, nazo zote ni target ya Wayemeni.
 

Wasaudi si ndio alikotoka yule mungu wako na ndipo huwa mnakwenda kupiga shetani mawe......hehehe bahati yenu Marekani amepalinda ila mngekua mumepalipua ndio ujue hamuna akili, kazi kujilupia lipua.
 
Wasaudi si ndio alikotoka yule mungu wako na ndipo huwa mnakwenda kupiga shetani mawe......hehehe bahati yenu Marekani amepalinda ila mngekua mumepalipua ndio ujue hamuna akili, kazi kujilupia lipua.

Qur'an 50:16. Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake. 16
 

Qur'an 50:16. Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake. 16

Unaniletea vitu vimeandikwa na huyo huyo muarabu unayemuabudu, halafu alivyokua na vituko vichafu...
 
Rasmi, wababe wa Bahari Nyekundu (Red Sea) ni Wayemeni:

Your browser is not able to display this video.


Maersk Hangzhou, meli ya kontena, imeshambuliwa na kombora la Houthi katika Bahari ya Shamu. Baada ya hapo, meli ya kivita ya Marekani, USS Gravely, ilidungua makombora mawili zaidi ya masafa marefu wakati ikijibu wito wa dhiki pamoja na USS Laboon, jeshi lilisema. Makombora hayo yalirushwa kutoka sehemu ya Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran, kwa mujibu wa kituo cha Central Command cha Marekani. Meli hiyo iliyokuwa na bendera ya Singapore, inayomilikiwa na Denmark ilikuwa ikisafiri kutoka Singapore kuelekea bandari ya Misri. Hili ni shambulio la kwanza la mafanikio tangu kuanzishwa kwa doria zinazoongozwa na Marekani katika Bahari ya Shamu. #houthi #ship #attack #redsea #yemen #yemen #israel #denmark #denmark #unitedstates #missiles #missiles #missilestrikes #houthis #houthis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…