Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanja vibovu na saa hii tunahost IAAF for 5 days. 135 countries participating. 5000 direct 'tourists'.
Nikumbushe, Tanzania imehost competition gani ya kimataifa? (Global)
Akili yako imejaa chang'aa tunazungumzia viwanja vya mpira wa miguu ,we unazungumzia mazulia ya kukimbia riadha .
Natanguliza pole zangu kwa hao wageni na mashabiki watakaokwenda kukalia mabenchi ya zege yaliyopakwa rangi za bucha pale Kasarani.
Zambia mnawaona maskini lakini pia wamewashinda kuwa na uwanja mzuri na wa kisasa. Nyie endeleeni kupaka rangi za safaricom zege za kasarani kama viwanja vya Somalia
Umemsahau Victor Wanyama "Mkata Umeme" akiwa pamoja na marafiki zakeDavid Beckham na familia yake..
Mamadou Sakho na familia yake..
Leon Osman...
Usher Raymond na famila yake...
Kwa uchache hawa ni miongon mwa watu maarufu ambao wameitembelea Tanzania kipindi hiki cha majira ya joto
Mhhhhh[emoji23][emoji23][emoji23]
Thank YouTumia akili aisee! Kwani lazima ujibizane kwa kila jambo hata usilolijua? Ndio, pitch inatumika katika mashindano za riadha. Ndio kwa maana ikaitwa (track & field).
Alafu tuchape everton Tatu mtungi [emoji38][emoji38]Duh huyu jembe amewasili, aisei hapo Gor Mahia tunawaombea jameni maana sijui.
Alafu tuchape everton Tatu mtungi [emoji38][emoji38]Duh huyu jembe amewasili, aisei hapo Gor Mahia tunawaombea jameni maana sijui.
But You know Kenyan Footballers for the most part havent played white dominated opposition ....angalia other sports tukishindana na wazungu huwa tunashinda so it may just be our lucky day Gor 3 everton 1 ?No?Duh huyu jembe amewasili, aisei hapo Gor Mahia tunawaombea jameni maana sijui.
But You know Kenyan Footballers for the most part havent played white dominated opposition ....angalia other sports tukishindana na wazungu huwa tunashinda so it may just be our lucky day Gor 3 everton 1 ?No?
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Gor players just need to focus, they will beat them, I wish I was in Dar to attend the the match. This IAAF thing should have been postponed a little to create room the match. That way we would have seen a massive turnout of fans.
Nyie watu hamtaki shindwa?
Mnajilinganisha kwetu na vimichezo vinavyoangaliwa na watu 70 wakati hii mechi ya Everton imeitangaza Tanzania na watakao angalia ni wengi sana
So unataka kumaanisha field ni sawa na pitch? Ama quality ya pitch ya wanariadha ni sawa na ya soccer! [emoji85] [emoji23]Tumia akili aisee! Kwani lazima ujibizane kwa kila jambo hata usilolijua? Ndio, pitch inatumika katika mashindano za riadha. Ndio kwa maana ikaitwa (track & field).