Wayne Rooney sees pre-season trip to Tanzania as perfect way to get to know Everton team-mates

Hehehe!! Halafu unajua JF siku hizi inaanika mikebe mnayotumia kuingia humu, wewe unamsimanga mwenzio kwamba hana hela halafu unatumia Techno L9
Coments yakijinga kama hii anastshili kuipost mjinga!
kwelinakazi
 
Mr sifuri ni kweli uyasemayo lakini kwenu huko hawana uhakika na usalama wao wameforgone kuwaleta nyumban kwa kampuni wamewaleta kwa jiran yao kwenye hakikisho la usalama wao



Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Everton hawana any say kwenye watapelekwa na Sportpesa. Unless hawataki pesa ya sponsorship.
Sportpesa ingekuwa inaanzisha Somalia, Rooney angeenda huko.

Na hii usalama unaongea kuhusu, the last time uliskia Al Shabaab Nairobi ni lini? Last few months London na Manchester zimeshambuliwa.
Hio ni kusema Kenya iko salama kuliko UK.
 
Unachekesha wewe
hujui mashindano ya mbio huko kenya
Nchi za Marekani na kwingineko zimejitoa kisa hao Alshbb!!
Wacheni misifa yakijinga
 

Wewe jamaa wa LDC, hii mashindano ya IAAF inafanyika kwenye uwanja wa mpira wa miguu, ulio na track ya kukimbia.
 
Unachekesha wewe
hujui mashindano ya mbio huko kenya
Nchi za Marekani na kwingineko zimejitoa kisa hao Alshbb!!
Wacheni misifa yakijinga

Ni haki yako kuropoka.
Lakini kumbuka kuna nchi 135 na wanariadha 5000 hapa Nairobi. Everton nadhani ni wachezaji 20 - 30.
 
Kwani hii sport Pesa inahusika na nn jamani?? na hizi pesa imetoa wapi? na hii sport pesa ni nani anamiliki?? ni mkenya, mzungu , mhindi au??


Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
 
Says the nigga from LDC
What's the difference between a landless Nyang'au in a poor non- LDC vis-a-vis a peasant in LDC with ample supply of food?
Those economics statistics need to be well communicated to some of u guys, how is the trickle- down significance to a poor Kenyan at Kibera and Kiambuu?

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Yeah not your first language, not even your second language but when you react to a comment written in English, ensure you fully comprehend what was written.
You shouldn't generalise to all Tanzanians, that's not fair at all dude!

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Everton together with Rooney they went straight to mama ntilie to eat vitumbua, you know what i like this...

 

Before you talk of economic statistics, start talking first of common sense, bringing myths that were being used to lie to you from your ancestors about land ownership in kenya seems to be abit wanting, our education system is one of the best in the continent if not the world no wonder Kenyan graduates are hot cake in Tanzania.Dont mention kiambu that's one of the wealthiest place in kenya you cant even afford to buy land there
 
What myth are u talking about?, can you give the difference btn the poor in Kenya vs Tz?, how many Kenyans companies are owned by black Kenyans?
FYI I'm working at an institution that I replaced a Kenyan who was incompetent herein ,so what hotcake are u talking about?


Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
such an ironical question to ask considering the fact that your banking sector has Kenyan banks owned by black Kenyans, the everton that is in your country is courtesy of another Kenyan company, if you compare Kenyan companies that have set foot in you country versus tz companies in kenya bana ni aibu tupu
 
hahaha don't be ridiculous, we are hosting the world, the IAAF event will be televised worldwide,over 5000 from different nationalities are in kenya, fala tu, sportpesa is Kenyan, match ni everton vs gor mahia a Kenyan team lol

Ngoja kwanza uchaguzi uishe ndio nitakujibu maana naweza kukujibu ukafa kabla ya uchaguzi
 
Hehe na hizo zimewasaidia nini maskini wakenya mna kampuni nyingi na pia mna maskini weengi atleast tungeona mna maisha tofauti saana na sie tungeona umuhimu wa hayo makampuni wacha sie watuletee burudani
 
Kwani hii sport Pesa inahusika na nn jamani?? na hizi pesa imetoa wapi? na hii sport pesa ni nani anamiliki?? ni mkenya, mzungu , mhindi au??


Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app



The company was incorporated in Kenya 4 years ago and has gained immense success.co-founder and CEO, Captain Ronald Karauri, resigned from Kenya Airways to start the company alongside a host of other like minded kenyan millionaires and foreign investors experienced in the gaming industry, Until his resignation, Karauri was a Captain,earning over Ksh 600,000 per month at KQ.

Sportpesa is by far the biggest betting company in Kenya making billions of shilling in profit every year. It has so much money that it is sponsoring an English Premier League Club in a Ksh1.321 billion sponsorship deal, Kenya Rugby approx Ksh607m, Gor Mahia Ksh325m, AFC Leopard ksh225m, Kenya Premier League Ksh450m etc all at the same time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…